Thursday, October 1, 2020

Mashine za kutengeneza TAMBI ZA DENGU - Gharama nafuu #0684 863138 - - G...







Jifunze kutengeneza kila aina ya bidhaa kupitia channel yetu ya youtube - GAWAZA BRAIN - usisahau ku-subscribe ili uwe wa kwanza kujipatia video zetu za mafunzo. Kwa mawasiliano zaidi calls - 0684 863138 Tabata - Dar es salaam - Tanzania.



.




Mashine ya Kutengeneza TAMBI ZA DENGU - 0684 863138 - GAWAZA BRAIN









Jifunze kutengeneza kila aina ya bidhaa kupitia channel yetu ya youtube - GAWAZA BRAIN - usisahau ku-subscribe ili uwe wa kwanza kujipatia video zetu za mafunzo. Kwa mawasiliano zaidi calls - 0684 863138 Tabata - Dar es salaam - Tanzania.



.

Wednesday, September 23, 2020

Jinsi ya kutengeneza SABUNI YA MAGADI hatua ya 3 - 0684 863138







MALIGHAFI ZITUMIKAZO KATIKA SABUNI YA KIPANDE.

( BAR SOAP )

1. Caustic Soda
2. Sodium silicate
3. Gylcerine
4. Mafuta ( mise, mawese, mbosaa, mnyonyo)
5. Pafyumu
6. Rangi
7. Magadi soda
.
CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2020
.
#GawazaBrain #YoungLeader

Jinsi ya kutengeneza SABUNI YA MAGADI hatua ya 2 - 0684 863138







MALIGHAFI ZITUMIKAZO KATIKA SABUNI YA KIPANDE.

( BAR SOAP )

1. Caustic Soda
2. Sodium silicate
3. Gylcerine
4. Mafuta ( mise, mawese, mbosaa, mnyonyo)
5. Pafyumu
6. Rangi
7. Magadi soda
.
CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2020
.
#GawazaBrain #YoungLeader

Jinsi ya kutengeneza SABUNI YA MAGADI hatua ya kwanza - 0684 863138









MALIGHAFI ZITUMIKAZO KATIKA SABUNI YA KIPANDE.

( BAR SOAP )

1. Caustic Soda
2. Sodium silicate
3. Gylcerine
4. Mafuta ( mise, mawese, mbosaa, mnyonyo)
5. Pafyumu
6. Rangi
7. Magadi soda
.
CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2020
.
#GawazaBrain #YoungLeader

Sunday, September 6, 2020

SABUNI YA MAGADI KWA MAFUTA YA MISE | video 4 | Gawaza Brain | 0684863138









ONGEZA MAARIFA NA UJUZI KUPITIA VITABU VYETU- GAWAZA BRAIN



Kwa sasa. Tumeshatunga vitabu si chini ya 10 na vitabu 6 tu ndio vimeshaanza kuuzwa na vitabu 4 bado havijaanza kuuzwa.



Na vitabu vyetu vyote vipo katika mfumo wa nyaraka nyepesi yani SOFT COPY vinasomwa in digital ways. Kwa simu. Pc. Laptopt na tablet





JIPATIE VITABU KWA BEI YA HALALI KABISA.



1.  Mwongozo kwa Wajasiriamali...10,000 tsh



2. Mjasiriamali mbunifu..7,000 tsh



3. Jifunze jinsi ya kutengeneza Batiki,  Chaki na mishumaa...7,000 tsh



4. Jifunze jinsi ya kutengeneza Sabuni za kipande, Magadi na Tiba....5,000 tsh



5. Jinsi ya kutengeneza Unga wa lishe na Chai Hai ....4,000 tsh



6. Jinsi ya kutengeneza Hand sanitizer na Methylates spirit .....6,000 tsh





Karibu sana.



Kuwa makini hatuna WAKALA yeyote anaye sambaza vitabu vyetu



Tupo online muda mwingi. Wasiliana na mwandishi moja kwa moja.





Mohammed Gawaza

.







CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.

©2020

.

#Gawaza Brain

#Young Leader


Friday, August 28, 2020

MASHINE MAALUMU KWA KUKUNIA NAZI , haitumii umeme- Ina gharama ndogo pig...





MASHINE ZA KUKUNIA NAZI - COCONUT SCRAPER


Coconut Scraper - mashine ndogo ya mkono kwa ajili ya kukunia nazi.

MASHINE SAIZI YA KAWAIDA NI MASHINE YA MKONO.

Bei yake elfu ishirini na tano tsh ( 25, 000/=)

Sifa zake

- Mashine haitumii umeme. Ni mannual kabisa. Haina mbwembwe.

- Ina Adjastable ambayo inazungusha kupata nazi kwa haraka.

- Inachambua nasi vizuri sana.

- Haiumizi mkono. Inaweza kukwangua nazi hata 20. Kwa siku moja.

- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.

JINSI YA KUZIPATA

Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine hapa Tabata Mwanannchi.
Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.

Mikoani zinatumwa, huko kwa njia ya basi. Na mashine inalipiwa kabisa. Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.

NAMBA ZA MAWASILIANO

0684-863138 ! 0753-286313 ! 0718 -567689