
HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA
1. TUMIA UJUZI ULIO NAO
Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano
kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona Nguo, why usianze na wewe kuwa na
biashara ya aina hiyo? Kama wewe ni fundi magari...