MALIGHAFI ZITUMIKAZO KATIKA SABUNI YA MIKONO (HANDWASH LIQUID GEL)
1. Sulphonic acid2 . Sles ( unga rol)3. Soda ash Light4. Cde5 . CMC6. Chumvi 7. Gylcerine8. Rangi na pafyumu..CC : @Gawaza_brain"Kazi yetu kuelimisha"EMAIL : mgawaza12@gmail.comPHONE : 0684-863138 l 0718-567689.©2019..#Gawaza Brain#Young Lea...
Friday, February 7, 2020
Jinsi ya Kutengeneza SABUNI ya kunawia MIKONO - 01 - Mafunzo JIUNGE NASI
MALIGHAFI ZITUMIKAZO KATIKA SABUNI YA MIKONO (HANDWASH LIQUID GEL)
1. Sulphonic acid
2 . Sles ( unga rol)
3. Soda ash Light
4. Cde
5 . CMC
6. Chumvi
7. Gylcerine
8. Rangi na pafyumu
.
.
CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2019.
.
#Gawaza Brain
#Young Leade...
MASHINE ZA CRIPS AINA ZOTE ni IMARA SANA
MASHINE ZA CRISPS
Zipo za aina 2.
a) Mashine Kubwa
Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)
Sifa zake
- Inakata crisps size za aina 8.
- Ina adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.
- Ina regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.
- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.
b) Mashine ndogo.
Bei yake elfu 20 Tsh (20,...
MASHINE YA CRISPS na MASHINE ZA TAMBI
MASHINE ZA TAMBI
Zipo za aina nyingi, mimi ninazo aina moja tu.
a) Mashine ya Tambi
Bei yake elfu 35tsh ( 35, 000/=)
Sifa zake
- Inatoa Tambi size za aina nane ( 8).
JINSI YA KUZIPATA NA KULIPIA
Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.
Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati...
KITABU : MAFUNZO YA UNGA LISHE na MAJANI YA CHAI - 4000 tsh
UNGA WA LISHE NA CHAI HAI.
Kitabu ambacho kinamuwezesha Mjasiriamali au mtengenezaji wa Unga wa lishe kutengeneza bidhaa ambayo itakuwa bora kwake.
Msingi mkuu atakao upata katika kitabu hiki, ni kujua vipimo na kujua kanuni mbalimbali za kutengeneza unga wa lishe.
Mtu akikuuliza CHAI HAI ni nn? Mwambie ni majani ya chai ambayo yametengenezwa...
Wednesday, February 5, 2020
SABUNI YA MAGADI, YA KIPANDE NA TIBA- Kitabu chke 5000/ Tsh- 0684 863138
KITABU NI KIPYA.
jina. JIFUNZE UTENGENEZAJI WA sabuni ya Kipande, sabuni ya magadi na Sabuni ya Tiba.
SIFA YA KITABU HIKI
Kitabu kina page(kurasa) 33.
Kina Mb 3.0 kina masomo matatu tu.
Gharama : 5,000 tsh
Jinsi : Ya kukipata ni SOFT COPY. unatumiwa kwa whtsap, au email au telegram.
SABUNI AINA 3, sabuni ya mche, sabuni ya tiba na sabuni...