Thursday, February 22, 2018

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA UNGA / DETERGENT SOAP



JINA LA MWANDISHI  : Mohammed  A. GawazaMAWASILIANO            :  0684-863138 / 0718- 567689 /  0743 - 214416                 Email    :mgawaza12@gmail.com                Youtube :  Gawaza Online TV  ( G.O.T )                Blog       : www.gawazabrain.blogspot.comJINA LA KITABU           : MJASIRIAMALI MBUNIFUJINA LA MAKALA         : UTENGENEZAJI WA SABUNI YA UNGA (DETERGENT SOAP)

SABUNI YA UNGA  /  DETERGENT SOAP Ni sabuni ambayo inapendwa na hutumika zaidi majumbani katika matumizi ya kawaida. MALIGHAFI ZA  SABUNI YA UNGA ( DETERGENT  SOAP)      Hizi malighafi ni kama mwongozo wa kutengeneza sabuni kiasi (kilo 4,8 n.k) ndogo lakini unaweza ukazidisha kupitia hivi na kupata sabuni nyingi zaidi,§  Sulphonic acid – Hutumika kuzalisha bidhaa nyingi za viwandani mf; dye. Sabuni n.k
§  Sodium Sulphate–Hufanya kazi kama chumvi katika kuzalisha sabuni.
§  Optical brighter -  Hufanya sabuni iwe ina ng’aa.
§  Nasa -
§  Soda ash – Ni kibebeo cha sabuni ili ikamilike mfano unga , majivu.
§  Perfume  - Hufanya sabuni kuwa na harufu nzuri.
§  Rangi – Kwa ajili ya kubadilisha rangi mfano kijani, blue, n.k
§  Hydrogen peroxide  -  Hii hufanya sabuni kuwa mara mbili ya uliyotengeneza mfano kilo 5 kuwa 10.
§  Sodium metasilicate – Hii hutumika katika kukausha maji katika sabuni na ikitumiwa huwa sabuni haianikwi.
§   VIFAA VITUMIKAVYO §  Beseni/sufuria kubwa safi
§  Mwiko mrefu
§  Gloves
§  Ndoo safi
§  Maski
§  Kipimio
 JINSI YA KUTENGENEZA ( 5 kg) 1)    Tafuta beseni kubwa na safi kisha chukua Sulphonic acid ( Lita moja 1) na mimina katika beseni lako.
2)    Chukua  Sodium sulphate  (3kg) kisha mimina katika beseni lako ambalo lina sulphonic acid.( koroga dakika 5) 3)    Mimina BRIGHTER vijiko 6 katika mchanganyiko wako.
4)    Mimina NASA vijiko 16 changanya kwa pamoja kwa dakika Zaidi ya 5
( koroga dakika 5)5)    Mimina SODA ASH LIGHT kg5  katika mchanganyiko wako kisha changanya kwa dakika Zaidi ya 5.( koroga dakika 5) 6)    Kisha chukua pafyumu yako kiasi kidogo yenye harufu nzuri na mimina katika mchanganyiko wako na changanya kwa dakika 5-6( koroga dakika 5) 7)    Maji kidogo 500ml na mimina katika mchanganyiko wako wa sabuni ya unga .
 8)    Hapo utaona kama unga uliomwagiwa maji , kisha utaanika sabuni yako kwa muda wa masaa 4-5 katika kivuli.
9)    Na mwisho kabisa unatakiwa kuweka deteregent booster ( Hydrogen peroxide) kwa ajili ya kuongeza wingi wa sauna yako.
            NB: Tahadhari ukianika juani baada ya kutengenezwa sabuni yako itayeyuka  na kama hutaki kuanika kivulini basi itatakiwa utie SODIAM METASILICATE hii hufanya kazi ya kukausha maji. 


JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI MBALIMBALI( mohammed gawaza)



JINA LA MWANDISHI  : Mohammed  A. Gawaza
MAWASILIANO            :  0684-863138   /     0718- 567689      /  0743 - 214416
                 Email          :mgawaza12@gmail.com
                Youtube        :  Gawaza Online TV  ( G.O.T )
                Blog                : www.gawazabrain.blogspot.com
JINA LA KITABU           : MJASIRIAMALI MBUNIFU
JINA LA MAKALA         : UTENGENEZAJI WA SABUNI MBALIMBALI







SABUNI { SOAP }
Maana ya sabuni
            Nibidhaa ambayo hutumika kwa matumizi mengi sana katika jamii zetu husika, Ni bidhaa chache sana zilizo muhimu na hutumiwa sana kwa matumizi kama sabuni .
Na hii imethibitishwa katika kila hatua yako ya maisha lazima utumie sabuni , utotoni ulitumia sabuni na mpaka sasa.
Tangu ilipotengenezwa kwa mara ya kwanza imeachwa kuwa ni bidhaa muhimu inayotumiwa kila siku.
            Mwana kemia mmoj aliwahi kusema katika karne ya 19 kwamba “ Utajiri na ustaarabu wa taifa huamuliwa na kiasi cha sabuni kinachotumniwa”

MATUMIZI MBALIMBALI YA SABUNI

    Matumizi makuu ni kuondoa Uchafu wa aina yeyote , matumizi ni kama ifuatavyo;
§  Kufulia
§  Kuoshea vyombo
§  Kusafishia vitu mbalimbali mf. sinki
§  Kuogea
§  Kunawia mikono N.K






MOHAMMED GAWAZA - MJASIRIAMALI MBUNIFU.



JINA LA MWANDISHI  : Mohammed  A. Gawaza
MAWASILIANO              :  0684-863138 /0718- 567689 /0743 - 214416
                 Email                :mgawaza12@gmail.com
                Youtube             :  Gawaza Online TV  ( G.O.T )
                Blog                    : www.gawazabrain.blogspot.com
JINA LA KITABU           : MJASIRIAMALI MBUNIFU


kwa jina naitwa Mohammed gawaza kama linavyoonekana hapo juu  nahusika nakutoa huduma za  mambo mbalimbali ya UJASIRIAMALI  kama utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani.. Na tupo kwa process katika kuandaa kitabu cha mjasiriamli kinachoitwa MJASIRIAMALI MBUNIFU.

kwa maelezo zaidi unaweza ukanipigia simu kwa namba hizo hapo juu na ama hiyo picha inavojieleza SHUKRANI.

Saturday, February 3, 2018

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI TOFAUTI TOFAUTI---GAWAZA MOHAMMED



Huu ndio ujasiriamali wa ukweli


JINA LA MWANDISHI  : Mohammed  A. Gawaza
MAWASILIANO            :  0684-863138   /     0718- 567689      /  0743 - 214416
                 Email          :mgawaza12@gmail.com
                Youtube        :  Gawaza Online TV  ( G.O.T )
                Blog                : www.gawazabrain.blogspot.com
JINA LA KITABU           : MJASIRIAMALI MBUNIFU