Tuesday, December 8, 2020

UKATAJI WA SABUNI YA MAGADI kwa kutumia UZI wa Mshipi.



Jifunze kutengeneza kila aina ya bidhaa kupitia channel yetu ya youtube - GAWAZA BRAIN - usisahau ku-subscribe ili uwe wa kwanza kujipatia video zetu za mafunzo. Kwa mawasiliano zaidi calls - 0684 863138 Tabata - Dar es salaam - Tanzania. MALIGHAFI ZITUMIKAZO KATIKA SABUNI YA KIPANDE. ( BAR SOAP ) 1. Caustic Soda 2. Sodium silicate 3. Gylcerine 4. Mafuta ( mise, mawese, mbosaa, mnyonyo) 5. Pafyumu 6. Rangi 7. Magadi soda . CC : @Gawaza_brain "Kazi yetu kuelimisha" EMAIL : mgawaza12@gmail.com PHONE : 0684-863138 l 0718-567689. ©2020. . #GawazaBrain

0 comments:

Post a Comment