Wednesday, April 4, 2018

JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO KWA VITENDO pt 01



 JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO LITA KUMI (10)










JINA LA MWANDISHI: Mohammed  A. Gawaza
MAWASILIANO  
        :  0684-863138/ 0718-567689/ 0743-214416
               Email               :  mgawaza12@gmail.com
                Youtube          : 
Gawaza Online TV  ( G.O.T )
                Blog                : www.gawazabrain.blogspot.com
JINA LA KITABU        : MJASIRIAMALI MBUNIFU
JINA LA MAKALA     : UTENGENEZAJI WA SHAMPOO .

 JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO LITA KUMI (10)

MAHITAJI
YA MALIGHAFI.





(i)               
Unga low au slec nusu
(ii)             
Sulphonic acid vijiko 5 vya chakula.
(iii)           
Soda ash light vijiko 2 vya chakula.
(iv)           
Maji lita 10.
(v)             
Glycerin vijiko 5 vya chakula.
(vi)           
Centrimide 63gm.
(vii)         
CDE 125 gm.
(viii)       
Sodium sulphate / chumvi ya kawaida – 250gm.






VIFAA
VINAVOTAKIWA
(i)          Mwiko mrefu – kwa ajili ya kukorogea.
(ii)                      
Beseni au ndoo safi zaidi ya lita kumi  -  kwa
ajili ya kuchanganyia shampoo.
(iii)                   
Kipimio – kwa ajili ya kupima vitu
mbalimbali.
(iv)                    
Maski – kwa ajilki ya kujikinga na chemikali.
(v)Gloves – kwa ajili ya
kujikinga na chemikali pia.


JINSI YA KUTENGENEZA
SHAMPOO

1.   
Weka slec kiasi
kinachohitajia katika chombo husika.
2.   
Kisha mimina sulphonic acid
kufatilizia kile chombo ulichoweka slec , koroga kwa pamoja kuelekea upande
mmoja.
3.   
Kisha weka soda ash ligh
nayo kisha endelea kukoroga kwa upande mmoja.
4.   
Mimina maji lita zao husika
katika mchanganyiko wako na uendelee kukoroga kuelekea upande mmoja.
5.   
Weka glycerin koroga
vizuri.
6.   
Weka centrimide kisha
koroga tene vizuri kuelekea upande mmoja.
7.   
Weka sodium sulphate hii ni
chumvi ya kawaida au wanaita industrial salts .
8.   
Hatua ya wisho hapa utaweka
alkatu au CMC na utaiacha ilale hapa povu lia pungua na mwishooo utamalizia kwa
9.   
Kuweka rangi yako kiasi
unataka na kuweka na apafyumu iasi unataka.

Kama
unataka maelezo kuhusiana na duka au maduka ambayo vifaa vinapatikana
tuwasiliane kwenye

Mgawaza12@gmail.com au
Simu
:   0684-863138
              0718-567689
              0743-214416
Mohammed
Gawaza


2 comments: