HOT AIR GUN
Ni mashine maalumu kwa ajili ya kuweka SILD za makopo ya bidhaa kama vile mafuta, maji, juice na bidhaa nyingine.
Mashine hizo zipo aina nyingi, Kuna kubwa na ndogo;
BEI ZA MASHINE KWA UJUMLA.
A) Mashine kubwa
Bei yake ni laki moja na elfu ishirini ( 120,000 tsh)
B) Mashine ndogo
Bei yake ni elfu sabini na tano ( 75,000 tsh).
KWA MAHITAJI YA MASHINE HII.
Kwa walio dar es salaam aje hapa TABATA MWANANNCHI - mandela road.
Kwa walio mikoani. Mashine zitatumwa kwa njia ya mabasi, kwa walio Zanzibar kwa njia ya boti au meli.
NAMBA ZA MAWASILIANO
0684-863138 ! 0753-286313 ! 0718 -567689
Friday, March 26, 2021
Home »
» HOT AIR GUN ( Mashine ya kufunga SILS D za BIDHAA) , simu 0684 863138 t...
0 comments:
Post a Comment