Thursday, May 20, 2021

Jinsi ya Kutumia #MASHINE YA KUFUNGA MIFUKO ya NAILONI...! +255 684 -863...



MASHINE YA KUFUNGIA MIFUKO

Mashine hii inaitwa IMPULSE SEALER.  Ni nzuri na inachapakazi,  inatumia umeme. 
Ina saizi tofauti tofauti kutokana na kazi ambazo,  inataka kufanya.
Inaweza kufunga na kukata mifuko ya nailoni,  yaani plastic.

GHARAMA YA MASHINE HII

1. Zipo kubwa.
     Gharama yake ni 85,000/ Tsh

2. Zipo ndogo.
     Gharama yake ni 65,000/ Tsh

Kwa anayehitaji,  anaweza kuwasiliana na Mimi,  Mohammed Gawaza kwa namba zifuatazo.

Kwa mahitaji,  walio dar es salaam,  watazipata pale TABATA -MWANANNCHI (RELINI).

Kwa walio mikoani,  watazipata kwa njia ya Mabasi,  kutoka Ubungo mpaka huko walipo.
Nitumie ujumbe ,  kwa njia ya whtsap. Kama unahitaji mashine hii.

NAMBA ZA MAWASILIANO

0684-863138  !  0753-286313   !  0718 -567689

0 comments:

Post a Comment