Wednesday, February 6, 2019

Tuesday, February 5, 2019

Friday, February 1, 2019

Tuesday, January 22, 2019

Friday, January 18, 2019

Tuesday, January 15, 2019

Wednesday, January 9, 2019

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI TAREHE 15-01-2019 JIANDIKISHE

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
YATAANZA Tarehe 15-01-2019 mpaka tarehe 21-01-2019, kwa wote watakao kuwa tayari kujiunga naomba tuwasiliane nami mohammed gawaza
0718-567689
0684-863138
0743-214416
0620-320597
Youtube : Gawaza Brain
instagram : Gawaza_Brain
Mafunzo yatakuwa ndani ya wiki moja tu, na GHARAMA ya kujiunga ni elfu 6 (6,000tsh) za kitanzania karibuni wote.
Kwa ambao pia watahitaji kitabu cha ujasiriamali pamoja na mafunzo jumla watalipia elfu 10 (10,000 tsh) na kama mtu atahitaji kitabu tupu bila mafunzo atalipia elfu 7 (7,000tsh).
Malipo yafanywe kupitia namba zangu tigopesa 0718-567689 kwa jina Mohammed Gawaza.
Mafunzo yatafanyika online kwa kutumia WHATSAPP account zetu kwa group la (ELIKIMA)
Masomo yatakayofundishwa ni kama ifuatavyo,
-Sabuni za Unga (Detergent soap)
-Sabuni za kipande (Bar soap)
-Sabuni za maji (Liquid soap)
-Sabuni za magadi (Bar soap style)
-Sabuni za mikono (Hand wash)
- Sabuni za chooni( Toilet cleaner)
-Sabuni za nywele (Hair shampoo)
-Sabuni za tiba (Medicated soap)
-Sabuni za kuogea (Shower gel)
-Sabuni za kazi (Multipurpose soap)
- Mafuta ya mgando (Petroleum gel)
-Mafuta ya nazi ( Coconut Oil)
-Mafunzo ya batiki (Clothes style)
-Dawa ya madoa (Jiki)
-Chaki na mishumaa ( Chalks, Candle)
Na mengine ya ziada kwa wote ambao wapo tayari kujiunga na hili wanipe taarifa zao kupitia whtsapp yang 0684-863138 haraka iwezekanavyo.
KARIBUNI SANA.