WHATSAPP ONLINE CLASS
*GAWAZA ENTREPRENUERSHIP GROUP*
Kikundi cha Ujasiriamali Chini ya Mohammed Gawaza
INAWALETEA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WATU WOTE DUNIAN ( *KWA SIKU 7* )
*KUANZIA TAR 01-09-2018 Hadi 08- 09 - 2018*
Ukumbi: WHATSSAP MG
*MAFUNZO YATAKAYOTOLEWA*
BIDHAA ZA VIWANDANI..
*Utengenezaji sabuni za Unga ( Detergent powder)
*Utengenezaji wa sabuni za nyanya ( Tomato soap)
*Utengenezaji wa shampoo ( shampoo making)
*Utengenezaji wa sabuni za kunawia mikono (Hand wash)
*Utengenezaji wa chaki ( School chalk)
*Utengenezaji Sabuni za Maji ( Liquid soap)
*Utengenezaji BATIKI
*Utengenezaji VIKOI
*Utengenezaji JIKI
*Utengenezaji Dawa za Kusafishia Vyoo na Masinki
*Utengenezaji Sabuni za vipande, Majivu, Magadi, NK.
JINSI YA KUSAJILI KAMPUNI NA BIDHAA MBALIMBALI
*Usajili wa jina la kampuni
*Usajili wa bidhaa maalumu
*Usajili ya kampuni binafsi
*Usajili wa kampuni ya watu kuanzia wawili
*GHARAMA ZA MAFUNZO HAYA YOTE NI ELFU 5* (5000 Tsh)
*(Mafunzo Haya Yatakuwa Kwa Nadharia na kwa videos kupitia whtssap)*
*Semina hii itatolewa na Wakufunzi Maalumu*
-Mohammed Gawaza
-Jafari Kamatia
-Alphani mazudo.
*NOTE*
*USILALE MTANZANIA AMKA SASA, JIUNGE TUTAMBUE FURSA PAMOJA*
ILI KUJIUNGA NA MAFUNZO HAYA..
TUMA TAARIFA ZAKO
- Jina lako
- Namba yako ya whtsap
- Mahali unapoishi.
-Na sms ya uthibitisho wa malipo.
KWA *NAMBA ZIFUATAYO ZA MALIPO*
Mohammed Gawaza.
1. 0684-863138 -- Airtel
2. 0718-567689 --Tigo
*SEMINA HII NI SAWA NA BURE KABISA*
Thibitisha Ushiriki Wako Kabla Tar 29/8/2018 Mchana.
*WOTE MNAKARIBISHWA SANA*
IMETOLEWA NA
#Gawaza Brain
#Mohammed Gawaza
#Young Entreprenuer
.....
" Young Entreprenuer "
Gawaza Brain
Friday, August 17, 2018
Home »
» MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WATU WOTE ( *KWA SIKU 7* )
0 comments:
Post a Comment