Saturday, May 25, 2019

Weka ODA :Shuleni | Hotel | Migahawa | Natengeneza SABUNI za CHOONI





Weka ODA :Shuleni | Hotel | Migahawa | Natengeneza SABUNI za CHOONI

Wednesday, May 22, 2019

Utengenezaji wa Shampoo ya Nywele | It was 02-06-2018 | 0684-843138







Hellow ma people leo nataka tujifunze jinsi ya kutengeneza shampoo kwa njia rahisi kabisa ilikuwa ni 2018 maeneo ya magomeni Usalama , Tuilikuwa tunatengeneza sabuni ya kuoshea nywele leo nimekuwekea video hiyo kupitia youtube yangu. Mara moja unaweza ukaiangalia kama upo na muda .



nipigie kama unahitaji mengi zaidi 0718-567689  0684-863138

UKATAJI SABUNI YA MCHE | It was 26-07-18 | 0684-863138 | Gawaza





Hii njia rahisi sana ya mtu anayetaka kukata vipande sabuni ya mche, Anaweza akatumia nji hii popote na kwa aina yeyote ya sabuni ambayo anahitaji.

LITA #2000 Sabuni za kusafisha sinki | TILES CLEANER | Inst :Gawaza_Brain







Leo wapendwa nilikuwa maeneo ya mbezi mwisho nikitengeneza sabuni ya chooni zaidi ya lita 2000. Unaweza kuangalia video hiyo moja kwa moja kupitia channel yangu ya youtube Nilikuwa kule FOINTAIN OF JOY shule kubwa inayo fundisha vizuri sana hapa dsm.

CHARLES NDUKU : Mwisho wa siku ya Leo | Ndio mwanzo wa kesho |







Hii hapa karibuni sana kuiangalia katika channel yangu UNAJUA mwisho wa siku ya leo ndio mwanzo wa siku ya kesho.

Thursday, May 16, 2019

MASHINE mpya | KUtengeneza TAMBI za kula | Inzuzwa 0684-863138





Hello.

Back to the show na MOHAMMED GAWAZA leo nakuletea mashine mpya kwa ajili ya kutengeneza TAMBI kwa mahitaji yake nipigie ..



0718-567689    0684-863138    0620-320597

Zote ni namba za Mohammed Gawaza



kwa walio mikoani naagiza mpaka huko.





#Gawaza Brain

#Young Entreprenuer

MASHINE mpya ya kutengeneza CRISPS | Inauzwa 0684-863138 | Gawaza Brain







HII ni mashine kwa ajili ya matumizi ya kutengeneza crisps kwa ambaye yupo ridhaa anatumiwa popote alipo gharama ni elfu 25 kwa anayehitaji anipigie kwa namba za simu..



0684-863138     0718567689     0620-320597

zote namba zangu MOHAMMED GAWAZA nipigie usjali kwa hilo.



#Gawaza Brain

#Young Entreprenuer

NJIA 5 za kutunza CHAKULA | Kisiharibike HARAKA | Inst: Gawaza_brain







karibuni sana, Leo kupitia GAWAZA BRAIN nawaletea njia 5 ambazo unaweza kuzitumia kutunza chakula ili kisiharibike haraka au kwa muda mfupi.



Back to the show. MOhammed gawaza that ma name. Kwa ambao ndio mara ya kwanza kusoma makala zangu basi wasisahau kusubcribe kupitia youtube channel yetu ya kijasiriamali #GAWAZA BRAIN.



Karibuni



#Gawaza brain

#Young entreprenuer

Jinsi ya Kukata | SABUNI ya MAGADI | 0684-863138 | Inst :Gawaza_Brain









KITABU KINAPATIKANA KWA NJIA ZIFUATAZO

Kitabu kina masomo ya ujasiriamali,  ambayo mara kadhaa mekuwa nikifundisha kupitia youtube na whtsap.


Unatumiwa kwa email au whtsap account yako,  Soon baada ya kukamilisha muamala.

Gharama ni elfu 7 (7000/) tu ya kitanzania.

Namba za malipo airtel money👇🏿👇🏿
0684-863138
Jina : Athuman Gawaza

Baada ya malipo,  unatoa taarfa kwamba umefanya muamala na unatumiwa kopi yako.

#karibuni sana
#Gawaza Brain
#Young Entreprenuer 

Tuesday, May 14, 2019

VIFUNGASHIO BORA | Hukuza biashara | 0684-863138 | Gawaza_brain







NI jambo lisilo pingika kuwa biashara yenye matangazo makubwa ndio ambayo inauza zaidi kuliko ile ambayo haina matangazo.



lakini pia biashara ikitengenezwa vizuri hata ikikosa matangazo basi nayo itauza vizuri zaidi kama ile tu yenye matangazo , hapa namaanisha kuwa kutengeneza lebo nzuri na package nzuri pia.



#Gawaza brain

0743-214416

0684-863138

0718-567689