Wednesday, May 22, 2019

LITA #2000 Sabuni za kusafisha sinki | TILES CLEANER | Inst :Gawaza_Brain







Leo wapendwa nilikuwa maeneo ya mbezi mwisho nikitengeneza sabuni ya chooni zaidi ya lita 2000. Unaweza kuangalia video hiyo moja kwa moja kupitia channel yangu ya youtube Nilikuwa kule FOINTAIN OF JOY shule kubwa inayo fundisha vizuri sana hapa dsm.

0 comments:

Post a Comment