Tuesday, May 14, 2019
Home »
» VIFUNGASHIO BORA | Hukuza biashara | 0684-863138 | Gawaza_brain
VIFUNGASHIO BORA | Hukuza biashara | 0684-863138 | Gawaza_brain
NI jambo lisilo pingika kuwa biashara yenye matangazo makubwa ndio ambayo inauza zaidi kuliko ile ambayo haina matangazo.
lakini pia biashara ikitengenezwa vizuri hata ikikosa matangazo basi nayo itauza vizuri zaidi kama ile tu yenye matangazo , hapa namaanisha kuwa kutengeneza lebo nzuri na package nzuri pia.
#Gawaza brain
0743-214416
0684-863138
0718-567689
0 comments:
Post a Comment