Wednesday, May 22, 2019

Utengenezaji wa Shampoo ya Nywele | It was 02-06-2018 | 0684-843138







Hellow ma people leo nataka tujifunze jinsi ya kutengeneza shampoo kwa njia rahisi kabisa ilikuwa ni 2018 maeneo ya magomeni Usalama , Tuilikuwa tunatengeneza sabuni ya kuoshea nywele leo nimekuwekea video hiyo kupitia youtube yangu. Mara moja unaweza ukaiangalia kama upo na muda .



nipigie kama unahitaji mengi zaidi 0718-567689  0684-863138

0 comments:

Post a Comment