Unajua au Huji leo NAOMBAniwe mwalimu wako tena, kwa kukufundisha jinsi ya kutengeneza sanitizer. ili tuyjikinge n hili gonjwa balaa la CORONA.
Malighfi zitumikazo kutengeneza SANITIZER
1. ethanol ( IPA)
2. Hydrogen peroxide
3. Distilled water
4. Glycerine
5 essential oil
kama unahitaji KUJIPATIA KITABU CHAKE NI ELFU SITA TU (6000)
.
.
.
0 comments:
Post a Comment