Saturday, March 14, 2020
Home »
» SHAMPOO YA NYWELE kwa matumizi ya SALON - full video- 0684 863138 - Gawa...
SHAMPOO YA NYWELE kwa matumizi ya SALON - full video- 0684 863138 - Gawa...
Karibu sana mpenzi mfatiliaji wa channel ya mafunzo ya GAWAZA BRAIN, leo tena tumewaletea mafunzo mapya ya jinsi ya kutengeneza bidhaa mpya kabisa ambayo ni SHAMPOO YA NYWELE, sisi tutakufahamisha jinsi ya kujua na kugundua malighafi zote zinazotumika kutengeneza hii shampoo ya nywele,
1. sulphonic acd
2. slec
3. soda ash light
4. glycerine
5. cde
6. sodim salphate au chumvi ya mawe
7. rangi na pafyumu
8, centrimide
shukran sana , kwa changamoto yeyote tafadhari nipigie kwa
0684-863138 au kwa 0753 - 286313
GAWAZA BRAIN - 2020 - HAINA KUSHINDA , HAINA KUFELI
.
.
0 comments:
Post a Comment