MASHINE ZA KUKUNIA NAZI - COCONUT SCRAPER
Coconut Scraper - mashine ndogo ya mkono kwa ajili ya kukunia nazi.
MASHINE SAIZI YA KAWAIDA NI MASHINE YA MKONO.
Bei yake elfu ishirini na tano tsh ( 25, 000/=)
Sifa zake
- Mashine haitumii umeme. Ni mannual kabisa. Haina mbwembwe.
- Ina Adjastable ambayo inazungusha kupata nazi kwa haraka.
- Inachambua nasi vizuri sana.
- Haiumizi mkono. Inaweza kukwangua nazi hata 20. Kwa siku moja.
- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.
JINSI YA KUZIPATA
Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine hapa Tabata Mwanannchi.
Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.
Mikoani zinatumwa, huko kwa njia ya basi. Na mashine inalipiwa kabisa. Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.
NAMBA ZA MAWASILIANO
0684-863138 ! 0753-286313 ! 0718 -567689