Friday, August 28, 2020

MASHINE YA CRISPS 2 - zinapatika kwangu piga simu - 0684 863138 GAWAZA B...







MASHINE ZA CRISPS ZA VIAZI, NDIZI, MIHOGO

A) MASHINE KUBWA

Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)

Sifa zake
- Inakata crisps size za aina 8. Ina Adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.
- Ina Regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.
- Ina Handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia. Inakata viazi, ndizi, mihogo, nyanya, vitunguu, karoti, Matango.

B) MASHINE NDOGO.

Bei yake elfu Ishirini tu Tsh (20,000/=)

Sifa zake
- Inakata crisps size za aina moja tu. Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.

JINSI YA KUZIPATA

Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine hapa Tabata Mwanannchi.
Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.

Mikoani zinatumwa, huko kwa njia ya basi. Na mashine inalipiwa kabisa. Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.

NAMBA ZA MAWASILIANO

0684-863138 ! 0753-286313 ! 0718 -567689

0 comments:

Post a Comment