Saturday, August 1, 2020

MASHINE ZA KUTENGENEZA CRISPS - Gharama nafuu TABATA - 0684 863138





[02:28, 8/1/2020] Gawaza Brain: MASHINE ZA CRISPS ZA VIAZI, NDIZI, MIHOGO



A)  MASHINE KUBWA



Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)



   Sifa zake

- Inakata crisps size za aina 8. Ina Adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.

- Ina Regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.

- Ina Handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia. Inakata viazi, ndizi, mihogo, nyanya, vitunguu, karoti, Matango.



B) MASHINE NDOGO.



Bei yake elfu Ishirini tu Tsh (20,000/=)



Sifa zake

- Inakata crisps size za aina moja tu. Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.



JINSI YA KUZIPATA



Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine hapa Tabata Mwanannchi.

Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.



Mikoani zinatumwa,  huko kwa njia ya basi. Na mashine inalipiwa kabisa.  Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.



NAMBA ZA MAWASILIANO



0684-863138  !  0753-286313   !  0718 -567689



.



.

0 comments:

Post a Comment