UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAGADI 01 | Tabata-DSM | 0684-863138
Monday, January 6, 2020
Sunday, January 5, 2020
UTENGENEZAJI WA SABUNI ZA KUOGEA l Liquid shower gel2
*MALIGHAFI MUHIMU KWA KUTENGENEZA SHOWER GEL*
1. Liquid medicated soap (sabuni ya maji ya tiba)
2. Asali mbichi Au iliyopikwa. (mbichi ndo nzur zaid).
3. Carrier oil - ni mafuta yanayotoka a na matunda kama vile ( Aloe vera , sweet almond oil , olive oil, grapeseed , avocado , coconut )
4. Essential oil( pafyumu )- hii n kama pafyumu hufanya sabuni ikanukia vzur sana.
Mfano : Orange , rosemarry , apple , pine apple.
#GawazaBrain
#Young Entreprenuer
..... .....
Saturday, January 4, 2020
SEMINA ya UJASIRIAMALI - jinsi ya kutengeneza Sabuni ya Maji
karibuni nakumbuka mwaqka #2019 nilialikwa katioka kanisa moja pale ruguluni, kwa ajili ya semina ya UJasirimali na haya ndio mambo yaliyo jiri.
#GawazaBrain #SeminaYaUjasiriamali.
Wednesday, January 1, 2020
KWA MAHITAJI : MASHINE ya TAMBI na MASHINE ya CRIPS - 0684 863138
MASHINE ZA TAMBI
Zipo za aina nyingi, mimi ninazo aina moja tu.
a) Mashine ya Tambi
Bei yake elfu 35tsh ( 35, 000/=)
Sifa zake
- Inatoa Tambi size za aina nane ( 8).
JINSI YA KUZIPATA NA KULIPIA
Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.
Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.
Mikoani zinatumwa, huko kwa njia ya basi.
Wanalipia kabisa.
Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.
.
.
.
MASHINE ZA CRISPS
Zipo za aina 2.
a) Mashine Kubwa
Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)
Sifa zake
- Inakata crisps size za aina 8.
- Ina adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.
- Ina regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.
- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.
b) Mashine ndogo.
Bei yake elfu 20 Tsh (20, 000/=)
Sifa zake
- Inakata crisps size za aina moja tu.
- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.
JINSI YA KUZIPATA

CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689. Whtsap
©2019.
.
#Gawaza Brain
#Young Leader

SHAMPOO YA NYWELE | kanuni. hatua . Vipimo na Kuweka katika packages.
Leo tuangalie jinsi ya kutengeneza shampoo, kuweka katika machupa yake shampooo na kanuni za utengenezaji pia.
twende sawa,
MLIGHF ZAKE.
1. Salphonic acid
2. Slec
3. Soda sh light
4. Glyecerine
4. CDE
5. chumvi au sodium salphate
6. Centrimide
7. Pafyumu na Rangi
CC : @Gawaza_brain
*"Kazi yetu kuelimisha"*
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2019.
.
#Gawaza Brain
#Young Leader
MWAKA WANGU WA KIBIASHARA - KITABU CHETU - Jipatie KOPI ya kitabu chako.
MAOMBI na kumcha MUNGU ni muhimu sana, ila havitoshi kutimiza malengo yako ya #2020. Unatakiwa kuchapa KAZI kwa bidii, umakini na usanifu.
nikutakie, mwaka mpya mwema !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
.
.
CC : @Gawaza_brain
*"Kazi yetu kuelimisha"*
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2019.
.
#GawazaBrain #YoungLeader #KITABUKIPYA