Thursday, March 19, 2020

NILIHUSIKA kufundisha Utengenezaji wa SABUNI kituo cha watoto YATIMA - K...







KWA MAHITAJI YA KUJIFUNZA JINSI YA KUTENGENEZA BIDHAA MOJA WAPO HAPI CHINI.

Tuwasiliane
0684-863138 !
0718-567689 !
0620-320597 !
0753-286313 !

-Sabuni ya maji
-Sabuni ya unga
-Sabuni ya kipande
-Sabuni ya magadi
-Sabuni ya chooni.
-Window cleaner & glass cleaner
-Handwash gel
-Multipurpose soap
-Airfresh
-Shampoo
-Lotion
-Mafuta ya kupaka
-Mafuta ya nazi

#Gawaza brain
#Young Leader



.

MASHINE ZA CRISPS BADO ZINA SAMBAA- now gharama ni nafuu- 0684 863138.







MASHINE ZA CRISPS



Zipo za aina 2.



 a)  Mashine Kubwa



Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)

   Sifa zake

- Inakata crisps size za aina 8.

- Ina adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.

- Ina regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.

- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.





b) Mashine ndogo.



Bei yake elfu 20 Tsh (20, 000/=)

Sifa zake

- Inakata crisps size za aina moja tu.

- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.



JINSI YA KUZIPATA



Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.



Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.



Mikoani zinatumwa,  huko kwa njia ya basi.

Wanalipia kabisa.



Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.

.

.

.

CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689. Whtsap

©2020.

.

#Gawaza Brain

#Young Leader



.


Sunday, March 15, 2020

MASHINE ya KUKATIA CRISP-(Inakata Size Aina8)- BEI 25,000 Tsh - Tabata M...









Mashine hizi zipo aina 2 ila kwa sasa zipo aina moja tu kwangu mm ambazo zinakata size aina 8 tofauti tofauti.

Kuipata mashine hii gharama yake ni 25000 tsh. kwa anayehitaj wa dsm aje hapa Tabata mwanachi kwa aliiye MKOANI tunatuma gharama za usfari ni juu yke mununuzi.

namba za simu kwa anayehitaji 0684 863138
.
..




.

UTENGENEZAJI WA SPIRIT KWA MATUMIZI YA SALON - 0684 863138 - Gawaza Brain











Karibu sana mpenzi mfatiliaji wa channel ya mafunzo ya GAWAZA BRAIN, leo tena tumewaletea mafunzo mapya ya jinsi ya kutengeneza bidhaa mpya kabisa ambayo ni SPIRIT YA NYWELE.
0684 863138








UTENGENEZAJI WA SHAMPOO ya NYWELE kwa MATUMIZI ya SALON







Karibu sana mpenzi mfatiliaji wa channel ya mafunzo ya GAWAZA BRAIN, leo tena tumewaletea mafunzo mapya ya jinsi ya kutengeneza bidhaa mpya kabisa ambayo ni SHAMPOO YA NYWELE
0684 863138






Saturday, March 14, 2020

SPIRIT





Karibu sana mpenzi mfatiliaji wa channel ya mafunzo ya GAWAZA BRAIN, leo tena tumewaletea mafunzo mapya ya jinsi ya kutengeneza bidhaa mpya kabisa ambayo ni METHYULATED SPIRIT , sisi tutakufahamisha jinsi ya kujua na kugundua malighfi zitumikazo kutengeneza tu.

MALIGHAFI ZAKE

1. Methanol
2. Ethanol
3. Gentian Violet
4. Distilled water

GAWAZA BRAIN -2020 - HAINA KUFELI- HAINA KUSHINDWA.

.
.
.


SHAMPOO YA NYWELE kwa matumizi ya SALON - full video- 0684 863138 - Gawa...







Karibu sana mpenzi mfatiliaji wa channel ya mafunzo ya GAWAZA BRAIN, leo tena tumewaletea mafunzo mapya ya jinsi ya kutengeneza bidhaa mpya kabisa ambayo ni SHAMPOO YA NYWELE, sisi tutakufahamisha jinsi ya kujua na kugundua malighafi zote zinazotumika kutengeneza hii shampoo ya nywele,

1. sulphonic acd
2. slec
3. soda ash light
4. glycerine
5. cde
6. sodim salphate au chumvi ya mawe
7. rangi na pafyumu
8, centrimide

shukran sana , kwa changamoto yeyote tafadhari nipigie kwa
0684-863138 au kwa 0753 - 286313

GAWAZA BRAIN - 2020 - HAINA KUSHINDA , HAINA KUFELI
.
.