Sunday, January 12, 2020

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MSIMU MPYA - JANUARY 16,2020.

SIFA ZA MAFUNZO HAYA

1. Tarehe ya kuanza ni tarehe 16-01 na kumaliza 22-01.

2. Mafunzo yatafanyika kwa whtsap,  kuna masomo ya video na mengineyo.

3. Gharama ( ada) ya kujiunga na masomo haya ni elfu kumi tu ( 10, 000 tsh) kwa watakao jiunga nitawapa Kitabu bure.

4. Wanahitajika watu wachache tu,  ambao watafanya mabadiliko ya kweli na si talanta mtaani.

5. Mafunzo haya hayahusiani  na huduma yeyote uliyewahi kuipata kwangu kipindi cha nyuma.

6. Kwa yeyote atakayependa kujiunga Atalipia ada kishs ataunganishwa na group lingine la mafunzo.

7. Mabadiliko yanayokea wakati wowote,  kabla ya siku ya mafunzo. Mfano mtu alilipia kisha akaamua kutosoma atarudishiwa pesa yake.

8. Hakuna namba itakayo unganishwa kama haijalipia ada (gharama) ya mafunzo.

9. Mwisho kama kuna changamoto 0684-863138.

10. Mwisho wa kulipia ni tarehe 15,  namba za malipo 0684-863138 jina Mohammed Gawaza

Utekerezaji mwema!!!!!

#Gawaza Brain


Wednesday, January 8, 2020

MASHINE ZA CRISPS - Gharama 25,000/ Tsh / 0684-863138







MASHINE ZA CRISPS



Zipo za aina 2.



 a)  Mashine Kubwa



Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)

   *Sifa zake*

- Inakata crisps size za aina 8.

- Ina adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.

- Ina regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.

- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.





b) Mashine ndogo.



Bei yake elfu 20 Tsh (20, 000/=)

*Sifa zake*

- Inakata crisps size za aina moja tu.

- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.



JINSI YA KUZIPATA



Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.



Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.



Mikoani zinatumwa,  huko kwa njia ya basi.

Wanalipia kabisa.



Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.

.

.

.

CC : @Gawaza_brain

*"Kazi yetu kuelimisha"*

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689. Whtsap

©2020.

.

#GawazaBrain #YoungLeader


Monday, January 6, 2020

UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAGADI 02 | Tabata-DSM | 0684-863138











UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAGADI 2 | Tabata-DSM | 0684-863138

UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAGADI 01 | Tabata-DSM | 0684-863138

UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MAGADI 01 | Tabata-DSM | 0684-863138








Sunday, January 5, 2020

UTENGENEZAJI WA SABUNI ZA KUOGEA l Liquid shower gel2







*MALIGHAFI  MUHIMU KWA KUTENGENEZA SHOWER GEL*



1. Liquid medicated soap (sabuni ya maji ya tiba)



2. Asali mbichi Au iliyopikwa. (mbichi ndo nzur zaid).



3.  Carrier oil - ni mafuta yanayotoka a na matunda kama vile ( Aloe vera , sweet almond oil , olive oil, grapeseed , avocado , coconut )



4. Essential oil( pafyumu )- hii n kama pafyumu hufanya sabuni ikanukia vzur sana.

   Mfano : Orange , rosemarry , apple , pine apple.









#GawazaBrain

#Young Entreprenuer

.....                    .....

Saturday, January 4, 2020

SEMINA ya UJASIRIAMALI - jinsi ya kutengeneza Sabuni ya Maji



karibuni nakumbuka mwaqka #2019 nilialikwa katioka kanisa moja pale ruguluni, kwa ajili ya semina ya UJasirimali na haya ndio mambo yaliyo jiri.

#GawazaBrain #SeminaYaUjasiriamali.



Wednesday, January 1, 2020