SIFA ZA MAFUNZO HAYA
1. Tarehe ya kuanza ni tarehe 16-01 na kumaliza 22-01.
2. Mafunzo yatafanyika kwa whtsap, kuna masomo ya video na mengineyo.
3. Gharama ( ada) ya kujiunga na masomo haya ni elfu kumi tu ( 10, 000 tsh) kwa watakao jiunga nitawapa Kitabu bure.
4. Wanahitajika watu wachache tu, ambao watafanya mabadiliko ya kweli na si talanta mtaani.
5. Mafunzo haya hayahusiani na huduma yeyote uliyewahi kuipata kwangu kipindi cha nyuma.
6. Kwa yeyote atakayependa kujiunga Atalipia ada kishs ataunganishwa na group lingine la mafunzo.
7. Mabadiliko yanayokea wakati wowote, kabla ya siku ya mafunzo. Mfano mtu alilipia kisha akaamua kutosoma atarudishiwa pesa yake.
8. Hakuna namba itakayo unganishwa kama haijalipia ada (gharama) ya mafunzo.
9. Mwisho kama kuna changamoto 0684-863138.
10. Mwisho wa kulipia ni tarehe 15, namba za malipo 0684-863138 jina Mohammed Gawaza
Utekerezaji mwema!!!!!
#Gawaza Brain
0 comments:
Post a Comment