Kama Una hiotaji maski zipo, Tupigie tupo tabata mwananchi hapa DSM Maski moja ni 3500, jumla ni 2500 karbu ujipatie mask zako piga namba hii 0684 863138
HAND SANITIZER / HAND ANTISEPTIC / HAND DIS INFECTANT/ HAND RUB
Hand sanitizer ni sabuni ya tiba
ya mikono kwa ajili ya kuua vijidudu, kama vile bacteria, viruses, germs na wengineo. Sabuni hi hutengenezwa kwa njia ya
kiwandani ( industrial production method) na njia ya kawaida ( home made
production method).
Katika kitabu hiki nitazizungumzia
njia mbili tofauti ambazo ni njia za kawaida katika kutengeneza Hand sanitizer.
Sabuni hii kwakweli ina saidia katioka swala zima la kuua bacteria na viruses
na ndio mana wnasayansi na wana chemist na shirika la Afya Duniani ( WHO)
wakaipa majina mengi kidogo kama vile Hand sanitizer, Hand dis infectant, Hand
antisepticna Hand rub.
VITABU VYOTE VINAVYO TOLEWA NA KUSAMBAZA NA GAWAZA BRAIN CO LTD
Gawaza Brain Co ina dili na Utoaji Mafunzo na Maarifa kuhusu Ujasiriamali na Uchumi.
Vitabu na bei zake.
1. MJASIRIAMALI MBUNIFU.
Hiki ni soft copy, kina kurasa 75, kina Mb 4.5 na kinapatikana kwa wenye whtsp, emai na telegram.
.
.
Bei yake : Elfu saba ( 7, 000 tsh)
Mwaka : Sep 2018.
2. UNGA LISHE NA CHAI HAI.
Hiki ni soft copy, kina kurasa 30 n kina MB 1.5 kinatumwa kwa walio na whtsap, email na telegram.
.
.
Bei yake : Elfu nne ( 4, 000 tsh)
Mwaka : March , 2019.
3. MWONGOZO KWA WAJASIRIAMALI.
Hiki ni soft copy, kina MB 5.0 kina husika na masomo yote, Sabuni, chaki, Mafuta, Batiki na mishumaa. Watakaokipata ni wale wenye whtsap, email na telegram.
Bei : Elfu kumi (10, 000 tsh).
.
.
Mwaka : Novemba 16, 2019.
4. BATIKI, CHAKI na MISHUMAA.
hiki nacho ni soft copy, kina kurasa 50, kina MB 3.0, kina fundisha Jinsi ya kutengeneza Chaki, batiki na Mishumaa Tu.