HAND SANITIZER / HAND ANTISEPTIC / HAND DIS INFECTANT / HAND RUB
Hand sanitizer ni sabuni ya tiba
ya mikono kwa ajili ya kuua vijidudu, kama vile
bacteria, viruses, germs na wengineo. Sabuni hi hutengenezwa kwa njia ya
kiwandani ( industrial production method) na njia ya kawaida ( home made
production method).

Katika kitabu hiki nitazizungumzia
njia mbili tofauti ambazo ni njia za kawaida katika kutengeneza Hand sanitizer.
Sabuni hii kwakweli ina saidia katioka swala zima la kuua bacteria na viruses
na ndio mana wnasayansi na wana chemist na shirika la Afya Duniani ( WHO)
wakaipa majina mengi kidogo kama vile Hand sanitizer, Hand dis infectant, Hand
antiseptic na Hand rub.

0 comments:
Post a Comment