Jifunze kutengeneza kila aina ya bidhaa kupitia channel yetu ya youtube - GAWAZA BRAIN - usisahau ku-subscribe ili uwe wa kwanza kujipatia video zetu za mafunzo. Kwa mawasiliano zaidi calls - 0684 863138 Tabata - Dar es salaam - Tanzania.

MASHINE ZA KUKUNIA NAZI - COCONUT SCRAPER Coconut Scraper - mashine ndogo ya mkono kwa ajili ya kukunia nazi. MASHINE SAIZI YA KAWAIDA NI MASHINE YA MKONO. Bei yake elfu ishirini na tano tsh ( 25, 000/=) Sifa zake - Mashine haitumii umeme. Ni mannual kabisa. Haina mbwembwe. - Ina Adjastable ambayo inazungusha kupata nazi kwa haraka. - Inachambua nasi vizuri sana. - Haiumizi mkono. Inaweza kukwangua nazi hata 20. Kwa siku moja. - Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia. JINSI YA KUZIPATA Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine hapa Tabata Mwanannchi. Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road. Mikoani zinatumwa, huko kwa njia ya basi. Na mashine inalipiwa kabisa. Hakuna pungufu kwa mashine yeyote. NAMBA ZA MAWASILIANO 0684-863138 ! 0753-286313 ! 0718 -567689