Friday, July 27, 2018
Friday, July 20, 2018
MALIGHAFI ZA SABUNI YA MICHE / MATERIALS by MOHAMMED GAWAZA
MALIGHAFI ZA SABUNI YA MICHE / MATERIALS
Hizi malighafi ni kama mwongozo sabuni
ndogo lakini unaweza ukazidisha kupitia hivi na kupata sabuni nyingi zaidi,
§ Caustic
Soda (450g )
§ Slec/
unga low ( nusu kilo )
§ Pafyumu(Rose,
lemon, kasablanka n.k )vijiko kadhaa
§ Sodium
silicate
§ Maji
safi chupa 4 za soda
§ Mafuta(mawese,
mise, nazi, ubuyu)- (lita moja) na
Mashudu kiasi
VIFAA VITUMIKAVYO
§ Beseni/sufuria
kubwa safi / Ndoo safi
§ Mwiko
mrefu
§ Gloves
§ Mask
§ Kipimio
§ Soap
moulder
JINSI YA KUTENGENEZA
1) Andaa
beseni safi kisha mimina maji chupa 4 za soda.
2) Weka
Caustic soda 450g koroga mpaka ziyeyuke (Hii ipo katika hali ya chengachenga,ukiweka
maji yatakuwa yamoto hivyoutakoroga ili maji
yapoe)
3) Weka
mafuta yako lita moja 1 na mashudu kisha
koroga kwa dakika kadhaa.
4) Weka
sodium silicate kisha koroga tena kwadakika kadhaa mpaka upate uzito unaotaka
5) Na
mwisho utaweka sles/ unga low nusu katika mchanganyiko wako kisha koroga tena
vizuri mpaka upate mchanganyiko mzuri zaidi na
6) Kisha
utaweka pafyumu yako vijiko 4-5 kutokana na harufu unayoitaka .
7) Hapo
utakuwa tayari umeshamaliza kutengeneza , kisha weka katika chombo(soap
moulder)hapo utasubiri siku moja au 2 sabuni yako itagande naitakuwa tayari kwa
matumizi.
MAANA KAMILI YA NENO SABUNI BY MOHAMMED GAWAZA
JINA LA MWANDISHI : Mohammed
A. Gawaza
MAWASILIANO :
0684-863138 / 0718- 567689 /
0743 - 214416
Youtube :
Gawaza Online TV ( G.O.T )
JINA LA KITABU : MJASIRIAMALI MBUNIFU
JINA LA MAKALA : UTENGENEZAJI WA SABUNI ZA MICHE /
VIPANDE – BAR SOAP
SABUNI { SOAP }
Maana
ya sabuni
ni bidhaa ambayo hutumika kwa
matumizi mengi sana katika jamii zetu husika, Ni bidhaa chache sana zilizo
muhimu na hutumiwa sana kama sabuni .
Na hii imethibitishwa katika kila
hatua yako ya maisha lazima utumie sabuni , utotoni ulitumia sabuni na mpaka
sasa.
Tangu ilipotengenezwa kwa mara ya
kwanza imeachwa kuwa ni bidhaa muhimu inayotumiwa kila siku.
Mwana kemia mmoj aliwahi kusema
katika karne ya 19 kwamba “ Utajiri na ustaarabu wa taifa huamuliwa na kiasi
cha sabuni kinachotumniwa”
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MICHE ( BAR SOAP) - 0718- 567689
(i)
Caustic soda
(ii)
Mafuta ya nazi,mise,mbosa au mawese au ya nyonyo
(iii)
Maji
(iv)
Pafyum
(v)
Hydrogen peroxide
(vi)
Chumvi kwaajili ya kuifanya sabuni nzitonaisiisheharak
VIFAA VINAVOTAKIWA
(i) Mwiko mrefu – kwa ajili
ya kukorogea.
(ii)
Beseni au ndoo safi - kwa
ajili ya kuchangamnyia sabuni.
(iii)
Kipimio – kwa ajili ya kupima vitu mbalimbali.
(iv)
Maski – kwa ajilki ya kujikinga na chemikali.
(v)
Gloves – kwa ajili ya kujikinga na chemikali pia.
(vi)
Soap moulder – hii kwaajiliyakuipa shape sabuni.
JINSI YA KUTENGENEZA;
hatua ya kwanza;
Loweka caustic soda
kilo tatu kwenye maji lita 9 na unapaswa kutumia chombo cha bati na sio cha
plastic.Koroga kwa muda wa dakika 15 na acha kwa muda wa siku 5.
hatua ya pili;
Chagua aina ya mafuta mojawapo
ambayo umeyapata na anza kuchanganya sasa.Changanya caustic soda1 na mafuta
lita 1 na nusu.changanya na gryceline vijiko viwili vya chakula.pafyumu kijiko
kimoja cha chai. Chumvi kijiko kimoja cha chakula.koroga kwa pamoja na uweke
kwenye umbo na sabuni itakuwa tayari
Kama unataka maelezo
kuhusiana na duka au maduka ambayo vifaa vinapatikana tuwasiliane kwenye
Mgawaza12@gmail.com au
Simu : 0684-863138
0718-567689
0743-214416
Mohammed Gawaza
MAWASILIANO :
0684-863138 /0718- 567689 /
0743 - 214416
Youtube :
Gawaza Online TV ( G.O.T )
JINA
LA KITABU : MJASIRIAMALI
MBUNIFU
JINA
LA MAKALA : UTENGENEZAJI WA
SABUNI YA KIPANDE .
Wednesday, July 11, 2018
Sunday, July 1, 2018
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUPITIA WHATSAPP TAREHE 07-07-2018.
JINA LA MWANDISHI : Mohammed A. Gawaza
MAWASILIANO : 0684-863138 / 0718- 567689 / 0743 - 214416
Youtube : Gawaza Online TV ( G.O.T )
JINA LA KITABU : MJASIRIAMALI MBUNIFU.
Kutakuwa na mafunzo ya ujasiriamali kuhusu kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani
hayo yatafanyika kufikia terehe 07-07-2018 mpaka tarehe 14-07-2018.
usipange kukosa na yatafanyika kwa njia ya whtsap ambapo video za mafunzo zitakuwa zikitolewa na malipo ni elfu 5 tu kwa kila mtu haya yote utayafahamu kama vile...
-sabuni za maji
-sabuni za vipande
-sabuni za unga
-shampoo na lotion
-windows cleaner
-sabuni za masinki
-class and tiles cleaner
-handwash na shower gel
-mafuta ya mgando na
-mafuta ya nazi
Jikaze mjasimali kwani hii ni sawa bure
VIZURI VYOTE HUWA NI VYA YHAMANI NA GHALI SANA.
Imeandikwa lazima iwe ngumu ili wawe nayo wachache.
Mohammed Gawaza
MAFUNZO YA UJASIRIAMALI VIA WHATSAPP - 0718-567689 ( 07-07-2018)
JINA
LA MWANDISHI : Mohammed A. Gawaza
LA MWANDISHI : Mohammed A. Gawaza
MAWASILIANO : 0684-863138
/ 0718- 567689 / 0743 - 214416
/ 0718- 567689 / 0743 - 214416
Youtube :
Gawaza Online TV ( G.O.T )
Gawaza Online TV ( G.O.T )
JINA
LA KITABU : MJASIRIAMALI MBUNIFU.
LA KITABU : MJASIRIAMALI MBUNIFU.
Kutakuwa na mafunzo ya ujasiriamali kuhusu kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani
hayo yatafanyika kufikia terehe 07-07-2018 mpaka tarehe 14-07-2018.
usipange kukosa na yatafanyika kwa njia ya whtsap ambapo video za mafunzo zitakuwa zikitolewa na malipo ni elfu 5 tu kwa kila mtu haya yote utayafahamu kama vile...
-sabuni za maji
-sabuni za vipande
-sabuni za unga
-shampoo na lotion
-windows cleaner
-sabuni za masinki
-class and tiles cleaner
-handwash na shower gel
-mafuta ya mgando na
-mafuta ya nazi
Jikaze mjasimali kwani hii ni sawa bure
VIZURI VYOTE HUWA NI VYA YHAMANI NA GHALI SANA.
Imeandikwa lazima iwe ngumu ili wawe nayo wachache.
Mohammed Gawaza