JINA LA MWANDISHI : Mohammed
A. Gawaza
MAWASILIANO :
0684-863138 / 0718- 567689 /
0743 - 214416
Youtube :
Gawaza Online TV ( G.O.T )
JINA LA KITABU : MJASIRIAMALI MBUNIFU
JINA LA MAKALA : UTENGENEZAJI WA SABUNI ZA MICHE /
VIPANDE – BAR SOAP
SABUNI { SOAP }
Maana
ya sabuni
ni bidhaa ambayo hutumika kwa
matumizi mengi sana katika jamii zetu husika, Ni bidhaa chache sana zilizo
muhimu na hutumiwa sana kama sabuni .
Na hii imethibitishwa katika kila
hatua yako ya maisha lazima utumie sabuni , utotoni ulitumia sabuni na mpaka
sasa.
Tangu ilipotengenezwa kwa mara ya
kwanza imeachwa kuwa ni bidhaa muhimu inayotumiwa kila siku.
Mwana kemia mmoj aliwahi kusema
katika karne ya 19 kwamba “ Utajiri na ustaarabu wa taifa huamuliwa na kiasi
cha sabuni kinachotumniwa”
0 comments:
Post a Comment