(i)
Caustic soda
(ii)
Mafuta ya nazi,mise,mbosa au mawese au ya nyonyo
(iii)
Maji
(iv)
Pafyum
(v)
Hydrogen peroxide
(vi)
Chumvi kwaajili ya kuifanya sabuni nzitonaisiisheharak
VIFAA VINAVOTAKIWA
(i) Mwiko mrefu – kwa ajili
ya kukorogea.
(ii)
Beseni au ndoo safi - kwa
ajili ya kuchangamnyia sabuni.
(iii)
Kipimio – kwa ajili ya kupima vitu mbalimbali.
(iv)
Maski – kwa ajilki ya kujikinga na chemikali.
(v)
Gloves – kwa ajili ya kujikinga na chemikali pia.
(vi)
Soap moulder – hii kwaajiliyakuipa shape sabuni.
JINSI YA KUTENGENEZA;
hatua ya kwanza;
Loweka caustic soda
kilo tatu kwenye maji lita 9 na unapaswa kutumia chombo cha bati na sio cha
plastic.Koroga kwa muda wa dakika 15 na acha kwa muda wa siku 5.
hatua ya pili;
Chagua aina ya mafuta mojawapo
ambayo umeyapata na anza kuchanganya sasa.Changanya caustic soda1 na mafuta
lita 1 na nusu.changanya na gryceline vijiko viwili vya chakula.pafyumu kijiko
kimoja cha chai. Chumvi kijiko kimoja cha chakula.koroga kwa pamoja na uweke
kwenye umbo na sabuni itakuwa tayari
Kama unataka maelezo
kuhusiana na duka au maduka ambayo vifaa vinapatikana tuwasiliane kwenye
Mgawaza12@gmail.com au
Simu : 0684-863138
0718-567689
0743-214416
Mohammed Gawaza
MAWASILIANO :
0684-863138 /0718- 567689 /
0743 - 214416
Youtube :
Gawaza Online TV ( G.O.T )
JINA
LA KITABU : MJASIRIAMALI
MBUNIFU
JINA
LA MAKALA : UTENGENEZAJI WA
SABUNI YA KIPANDE .
0 comments:
Post a Comment