Nimeandaa kozi maalumu ya kijasirimali amabayo itafanyika online kupita whtsapp na itaanza rasimi tarehe 5/12.2018 mpka tarehe 12/12/2018. kuta kuwa na massomo mengi sana kama vile ambayo tumetaja katika tangazo hapo chini.
Malipo yatafanyika kupitia namba za tigopesa ambayo ni 0718-567689 Na malipo yakakuwa kama ifuavyo , MASOMO yatagharimu elfu 6 tu, na kitabu kitagharaimu elfu 7 tu, na ikiwa mtu atataka masomo na kitabu atalipia elfu 9 tu kwa namba nizilizo zitaja hapo juu.
karibuni sana....
pia un aweza ukatazama video yetu ya tangazo kupitia channel yetu youtube kwa link hiyo hapo
https://youtu.be/vw8525PEpu8
0 comments:
Post a Comment