Saturday, May 2, 2020

JIUNGE MAPEMA: MAFUNZO MAPYA YA UJASIRIAMALI - Trh 6-12 mwezi 5 - 2020 ...









M  A  F  U  N  Z  O      Y  A



U  J  A  S  I  R  I  A  M  A  L  I



Kumbuka ! Thamani yako ! Maarifa yako ! Uchumi wako ! Mafanikio yako !



Karibuni sana wajasiriamali wote,  na sio ya kukosa kwa wenye nia.



MASOMO YATAANZA tarehe 06 - 05 - 2020 mpaka tarehe 12 - 05 - 2020.

.

kwa wote watakao kuwa tayari kujiunga naomba tuwasiliane nami.



 Mohammed gawaza

0684 863138 ; 0718-567689

 whtsp



Youtube : Gawaza Brain

instagram : Gawaza_Brain



MUDA WA MAFUNZO



Mafunzo yatakuwa ndani ya wiki moja tu.



kuanzia tarehe 06- 05 - 2020

Mpaka tarehe  12- 05 - 2020



Muda kuanzia saa 1:30 jioni kila siku.



ADA YA MAFUNZO



Masomo yote = elfu 10 (10, 000 tsh),

 kitabu kitatolewa bure...



Malipo kwa TIGOPESA

0718-567689

Jina : Mohammed Gawaza



KUMBUKA

Mafunzo yatafanyika Online kwa kutumia WHATSAPP  katika group la (ELIKIMA)



Masomo yatakayofundishwa 30



UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI



VIDEO ZITATOLEWA👇



01 -Sabuni za Unga (Detergent soap)

02 -Sabuni za kipande (Bar soap)

03 -Sabuni za maji (Liquid soap)

04 -Sabuni za magadi (Bar soap sodash)

05 -Sabuni za mikono (Hand wash)

06 - Sabuni za chooni( Toilet cleaner)

07 -Sabuni za nywele (Hair shampoo)

08 -Sabuni za tiba (Medicated soap)

09 -Sabuni za kuogea (Shower gel)

10 -Sabuni za kazi (Multipurpose soap)

11 - Mafuta ya mgando (Petroleum gel)

13 -Mafunzo ya batiki (Clothes style)

14 -Dawa ya madoa (Jiki)

15. Sabuni ya mikono (Hand Sanitizer)

 



Na masomo ya ziada (BILA VIDEO).



15 - Aina 3 za lotion

16 - Utengenezaji wa mishumaa.

17 - Utengenezaji wa chaki.

18- kusajili kampuni

19 -kusajili bidhaa Tbs na Tfda.

20 - Kujiajiri katika biashara.

21- Utengenezaji wa chill sauce.

22. Karanga za mayai.

23. Ubuyu wa zanzibar.

25.  Biskuti za tangawizi

26.  Biskuti za mayai.

27. Airfresh na Windows cleaner.

28. Majani ya chai ( chai hai).

29. Unga wa lishe.

30. Bagia za dengu  na Utengenezaji wa chrisps.





 Kwa yeyote ambae yu tayari kujiunga na haya mafunzo anipe taarifa zake kupitia whtsapp yang 0684-863138 na 0718-567689



#Karibu sana



.

.

#Gawaza Brain

#Young Entreprenuer

0 comments:

Post a Comment