Friday, May 15, 2020

Mashine Ya Tambi inatoa tambi aina 6 tofauti - 0684 863138 -Tabata DSM





MASHINE ZA TAMBI

Zipo za aina nyingi, mimi ninazo aina moja tu.

a) Mashine ya Tambi

Bei yake elfu 35tsh ( 35, 000/=)
Sifa zake
- Inatoa Tambi size za aina nane ( 8).

JINSI YA KUZIPATA NA KULIPIA

Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.

Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.

Mikoani zinatumwa, huko kwa njia ya basi.
Wanalipia kabisa.

Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.
.
.
.
CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689. Whtsap
©2020.
.
#Gawaza Brain
#Young Leader

0 comments:

Post a Comment