Saturday, December 14, 2019

IMPULSE SELALER | Mashineya kufunga mifuko ya Bidhaa kama Unga, Ubuyu na...







MASHINE ZA TAMBI



Zipo za aina nyingi,  mimi ninazo aina moja tu.



 a)  Mashine ya Tambi



Bei yake elfu 35tsh ( 35, 000/=)

   Sifa zake

- Inatoa Tambi size za aina nane ( 8).



JINSI YA KUZIPATA NA KULIPIA



Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.



Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.



Mikoani zinatumwa,  huko kwa njia ya basi.

Wanalipia kabisa.



Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.

.

.

.

CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689. Whtsap

©2019.

.

Thursday, December 12, 2019

UCHUMI WA TANZANIA - Mwandishi MOHAMMED GAWAZA

SHUKRAN ZANGU ZIENDE KWENU WOTE,  WAJASIRIAMALI


Jina: Mohammed Gawaza
Mzaliwa:Morogoro
Wilaya :Kilombero
Msingi :Mapinduzi MORO
Upili : Msamala Muslim -Songea
Chuo : DIT  - dsm
Calls:0718-567689/
          0684-863138/
          0743-214416/
          0620-320597/
Youtube: Gawaza Brain
Instagram:*Gawaza_brain
Twitter/FB: Moh'd Gawaza
blog:www.gawazabrain.com
Email:mgawaza12@gmail.com
Resident :Tabata mwananchi-DSM
Status : *Trainer/Entreprenuer/.


UCHUMI WA TANZANIA

Uchumi (economy) ni hali ya fulani ya kimaisha huenda yakawa ya kati,  ya chini au ya juu na pia inatofautiana sana sehem na sehemu.

Hvyo utasikia uchumi wa bara fulani,  au uchimi wa nchi fulani,  au uchumi wa taifa fulani,  au uchumi wa mkoa fulani kwahyo ni kutokana na ustawi wa maisha ya eneo hilo.

Uchumi huwa unatabia ya kupanda na kushuka,  kulingana na shughuli zinazofanyika eneo hilo.

Sasa leo,  mimi kwa juu juu tu nitadili na uchumi  wa tanzania .

Nchi yetu(Tanzania)  ina Mifumo miwili ya uchumi.

Ambayo ni..
a) formal economy.
Huu huwa unafatiliwa na serikali huwa wamesajiliwa na wanalipa kodi wanajulikana na serikali nanwanachangia growth domestic product (GPD).

b) Informal economy. Huu huwa watu wake wanajulikana na serikali lakini hawafatiliwi na serikali yani wqnafanha biashara zao,  bila kusumbuliwa na serikali bila kulipia kodi na pia hawahesabiwi katika growth domestic product (GDP) mfano machinga,  mama ntilie na mama lishe.

Lakini wafanya biashara huwa,  wanafatiliwa kwa kipindi wanapoanza biashara zao na wanapokuwa wamekuwa kibiashara hapo serilali huwa inakuwa macho na kuanza kuwasumbua wasajiri biashara zao.

Pia kuna mkakati ambao ni maarufu sana unaitwa MKURABITA huu hutumika kurasimisha biashara ndogondogo ambazo zilikuwa ni informal ili ziwe formal upande wa uchumi.


SABABU KWANINI HAWAFATILIWI.

1. Serikali imeshindwa kuwapa ajira watu wake wote, hivyo watu wengine huamua kujiajiri kwa kuzalisha bidhaa zao wenyewe ambapo wataweza kujipatia kipato chao na kukidhi mahitaji yao.

2) Pia kuna utaratibu unaitwa MKURABITA ambao unarasimisha hizi bidhaa kutoka informal kuwa formal

Kwahvyo inapoinuka kiuchumi au kwa kiwanda.

Unatakiwa ujisajiri bila hvyo utafungiwa .


#Gawaza Brain
#Young Entreprenuer

"UTENGENEZAJI WA KIWI" | Dawa ya kung'arisha Viatu | Gawaza Brain







kuna malighafi ambazo zina husik katika kutengeneza kiwi. au dawa ya kung'arisha viatu.



1. bee wax

2. white oil

3. micro wax

4. turprntine

5. charcoal powder








JINSI YA KUTENGENEZA KIWI ( shoe polish) - Gawaza Brain







KWA MAHITAJI YA KITABU KIMOJA WAPO HAPO.



Wasiliana na Mwandishi Mohammed Gawaza.



Mawsiliano Yake.

.

.

0684-863138

0718-567689

.

.

KUMBUKA VITABU YYOTE NI SOFT COPY.

..

.

Au fika tabata mwanannchi,  kukutana moja kwa moja namimi.

.



CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.

©2019.

.

#Gawaza Brain

#Young Leader


JINSI YA KUTENGENEZA CRISPS ZA CHAKULA ( bites making) - Gawaza Brain











MASHINE ZA CRISPS



Zipo za aina 2.



 a)  Mashine Kubwa



Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)

   Sifa zake

- Inakata crisps size za aina 8.

- Ina adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.

- Ina regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.

- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.





b) Mashine ndogo.



Bei yake elfu 20 Tsh (20, 000/=)

Sifa zake

- Inakata crisps size za aina moja tu.

- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.



JINSI YA KUZIPATA



Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.



Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.



Mikoani zinatumwa,  huko kwa njia ya basi.

Wanalipia kabisa.



Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.

.

.

.

CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689. Whtsap

©2019.

.

#Gawaza Brain

#Young Leader




Wednesday, December 11, 2019

SABUNI YA KIPANDE YA TIBA.( MEDICATED BAR SOAP )

MALIGHAFI ZITUMIKAZO KATIKA SABUNI YA KIPANDE YA TIBA.

 ( MEDICATED BAR SOAP )


1. Caustic Soda
2. Sodium silicate
3. Gylcerine
4. Mafuta ( mise, mawese,  mbosaa,  mnyonyo)
5. Pafyumu
6. Tiba ( Habat sauda,  Nyonyo,  mwarobaini,  Aloe vera,  black seed)
.
CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2019.
.
#Gawaza Brain
#Young Leade

MASHINE ZA KUTENGENEZEA CRISPS | Tabata- DSM | - 0684 863138







MASHINE ZA CRISPS



Zipo za aina 2.



 a)  Mashine Kubwa



Bei yake elfu 25 tsh ( 25, 000/=)

   Sifa zake

- Inakata crisps size za aina 8.

- Ina adjastable ambayo inazungusha kisu kupata size.

- Ina regulator kwa ajili ya kuzungusha kisu.

- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.





b) Mashine ndogo.



Bei yake elfu 20 Tsh (20, 000/=)

Sifa zake

- Inakata crisps size za aina moja tu.

- Ina handle (mkono ) kwa ajili ya kushikia.



JINSI YA KUZIPATA



Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.



Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.



Mikoani zinatumwa,  huko kwa njia ya basi.

Wanalipia kabisa.



Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.

.

.

.

CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689. Whtsap

©2019.

.

#Gawaza Brain

#Young Leader