Saturday, December 14, 2019

IMPULSE SELALER | Mashineya kufunga mifuko ya Bidhaa kama Unga, Ubuyu na...







MASHINE ZA TAMBI



Zipo za aina nyingi,  mimi ninazo aina moja tu.



 a)  Mashine ya Tambi



Bei yake elfu 35tsh ( 35, 000/=)

   Sifa zake

- Inatoa Tambi size za aina nane ( 8).



JINSI YA KUZIPATA NA KULIPIA



Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine.



Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo kupitia mandela road.



Mikoani zinatumwa,  huko kwa njia ya basi.

Wanalipia kabisa.



Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.

.

.

.

CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689. Whtsap

©2019.

.

0 comments:

Post a Comment