Thursday, December 12, 2019

UCHUMI WA TANZANIA - Mwandishi MOHAMMED GAWAZA

SHUKRAN ZANGU ZIENDE KWENU WOTE,  WAJASIRIAMALI


Jina: Mohammed Gawaza
Mzaliwa:Morogoro
Wilaya :Kilombero
Msingi :Mapinduzi MORO
Upili : Msamala Muslim -Songea
Chuo : DIT  - dsm
Calls:0718-567689/
          0684-863138/
          0743-214416/
          0620-320597/
Youtube: Gawaza Brain
Instagram:*Gawaza_brain
Twitter/FB: Moh'd Gawaza
blog:www.gawazabrain.com
Email:mgawaza12@gmail.com
Resident :Tabata mwananchi-DSM
Status : *Trainer/Entreprenuer/.


UCHUMI WA TANZANIA

Uchumi (economy) ni hali ya fulani ya kimaisha huenda yakawa ya kati,  ya chini au ya juu na pia inatofautiana sana sehem na sehemu.

Hvyo utasikia uchumi wa bara fulani,  au uchimi wa nchi fulani,  au uchumi wa taifa fulani,  au uchumi wa mkoa fulani kwahyo ni kutokana na ustawi wa maisha ya eneo hilo.

Uchumi huwa unatabia ya kupanda na kushuka,  kulingana na shughuli zinazofanyika eneo hilo.

Sasa leo,  mimi kwa juu juu tu nitadili na uchumi  wa tanzania .

Nchi yetu(Tanzania)  ina Mifumo miwili ya uchumi.

Ambayo ni..
a) formal economy.
Huu huwa unafatiliwa na serikali huwa wamesajiliwa na wanalipa kodi wanajulikana na serikali nanwanachangia growth domestic product (GPD).

b) Informal economy. Huu huwa watu wake wanajulikana na serikali lakini hawafatiliwi na serikali yani wqnafanha biashara zao,  bila kusumbuliwa na serikali bila kulipia kodi na pia hawahesabiwi katika growth domestic product (GDP) mfano machinga,  mama ntilie na mama lishe.

Lakini wafanya biashara huwa,  wanafatiliwa kwa kipindi wanapoanza biashara zao na wanapokuwa wamekuwa kibiashara hapo serilali huwa inakuwa macho na kuanza kuwasumbua wasajiri biashara zao.

Pia kuna mkakati ambao ni maarufu sana unaitwa MKURABITA huu hutumika kurasimisha biashara ndogondogo ambazo zilikuwa ni informal ili ziwe formal upande wa uchumi.


SABABU KWANINI HAWAFATILIWI.

1. Serikali imeshindwa kuwapa ajira watu wake wote, hivyo watu wengine huamua kujiajiri kwa kuzalisha bidhaa zao wenyewe ambapo wataweza kujipatia kipato chao na kukidhi mahitaji yao.

2) Pia kuna utaratibu unaitwa MKURABITA ambao unarasimisha hizi bidhaa kutoka informal kuwa formal

Kwahvyo inapoinuka kiuchumi au kwa kiwanda.

Unatakiwa ujisajiri bila hvyo utafungiwa .


#Gawaza Brain
#Young Entreprenuer

0 comments:

Post a Comment