Saturday, April 21, 2018

1. LIQUID CLEANER ( SABUNI YA USAFI) MWANZO MWISHO 0684-863138




Hellow
Mambo niaje

Naitwa Mohammed Gawaza ni mjasiria mali mkufunzi mara nyingi
natumia muda wangu wa ziada ufanya shughuli za ujasiria mali. Na leo hii
napenda kushare nawewe kitu kimoja tu. Tuta lelezea kwa kina kabisa jinsi ya
utengeneza sabuni ya maji na ikawa poa kwa matumizi . Baki na mm hatua kwa
hatua mpaka sabuni ina amilika .



Na ahsante sana mpaka muda huu wewe ambaye umesha subscribe
kupitia youtube channel yagu GAWAZA ONLINE TV.









Thursday, April 19, 2018

Gawaza Fresh Food 0684-863138 0718-567689

Ubuyu wetu




GAWAZA FRESH FOOD

karanga za mayai

Mohammed Gawaza KARANGA ZA MAYAI NA UBUYU WA ZANZIBAR


Gawaza Fresh food ni wasambazi wa bidhaa mbalimbali za chakula ambavyo vimepikwa tayari kwa sasa tumeanza na usambazaji wa karanga za mayai na ubuyu wa Zanzibar kwa package ya shilingi za kitanzania 500= Tsh.
Mohammed Gawaza ambaye ni mjasiriamali na mwanzilishi wa channel ya ujasiriamali youtube inayoitwa GAWAZA ONLINE TV na blog yake ya kijasiriamali inayoitwa  GAWAZABRAIN.COM na ndiye muanzilishi vilevile wa hiki kikundi ambacho kinajihusisha kununua na kutengeneza na kupack karanga zao katika bidhaa zao za kila siku, Ambazo ni Karanga na Ubuyu.

Ikiwa ni katika mwanzo wa mchakato huu tupo bado kwa usambazaji na kutafuta masoko wa uuzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa hi.
Hivyo kwa mtu anapenda kuhusu hii biashara unaweza ukatucheki kwa namba za simu ziguatazo;
0684-843138
0718-567689
0743-214416

Link on yotube below

https://youtu.be/rp_NIlheQUE


Mohammed Gawaza
















Naitwa Mohammed Gawaza
Nimekuwa nkitumika kwa kiasi kingi kufundisha Ujasiriamali na vile vile nafundisha vitu sana hususani Utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani..


    - Sabuni za maji
    - Sabuni za vipande
    - Sabuni ya unga
    - Utengenezaji wa shampoo
    - Utengenezaji wa lotion mbalimbali n.k


Mohammed Gawaza profile MJASIRIAMALI MBUNIFU.



Mwandishi wa kitabu hiki ni MOHAMMED A. GAWAZA
Simu: +255 684 863 138 / +255 718 567 689 /+255 743 214 416
Barua pepe: mgawaza12@gmail.com
Facebook : Mohammed  Gawaza
Instagram: Mohammed  Gawaza
Twitter : @Mohammed  Gawaza












April 2018.
Mwandishi, Mohammed Gawaza amezaliwa mkoani Morogoro, wilaya Kilombero, mwaka 1995. Amepata elimu ya msingi hapo kilombero na akajiunga na akajiunga na sekondari ya msamala muslim seminary mnamo mwaka 2011 mpaka 2014 na kisha akaenda kusomea Science & Laboratoty technology  Dar es salaam, DIT.
Na mwandishi amejihusisha na asasi mbalimbali za kijasiriamali na hivyo akaamua kuandika hiki kitabu MJASIRIAMALI MBUNIFU kinachoelezea utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani mfano Sabuni ya kipande Unga, kipande, maji, za chooni na shampoo, lotion n.k.

JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO KWA NJIA RAHISI KABISA



JINA LA MWANDISHI  : Mohammed  A. Gawaza
MAWASILIANO             :  0684-863138/ 0718-567689/ 0743-214416
               Email                   :  mgawaza12@gmail.com
                Youtube             :  Gawaza Online TV  ( G.O.T )
                Blog                    : www.gawazabrain.blogspot.com
JINA LA KITABU           : MJASIRIAMALI MBUNIFU
JINA LA MAKALA         : UTENGENEZAJI WA SHAMPOO .

























JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO LITA KUMI (10)


          MAHITAJI YA MALIGHAFI.


(i)       Unga low au slec nusu
(ii)      Sulphonic acid vijiko 5 vya chakula.
(iii)     Soda ash light vijiko 2 vya chakula.
(iv)      Maji lita 10.
(v)        Glycerin vijiko 5 vya chakula.
(vi)       Centrimide 63gm.
(vii)      CDE 125 gm.
(viii)      Sodium sulphate / chumvi ya kawaida – 250gm.




VIFAA VINAVOTAKIWA
(i)      Mwiko mrefu – kwa ajili ya kukorogea.
(ii)     Beseni au ndoo safi zaidi ya lita kumi  -  kwa ajili ya kuchanganyia shampoo. 
(iii)    Kipimio – kwa ajili ya kupima vitu mbalimbali.
(iv)     Maski – kwa ajilki ya kujikinga na chemikali.
(v)      Gloves – kwa ajili ya kujikinga na chemikali pia.

Friday, April 13, 2018

GAWAZA FRESH FOOD - KARANGA ZA MAYAI PROMOTION





Gawaza
Fresh food
ni wasambazi wa bidhaa mbalimbali
za chakula ambavyo vimepikwa tayari kwa sasa tumeanza na usambazaji wa karanga
za mayai na ubuyu wa Zanzibar kwa package ya shilingi za kitanzania 500= Tsh.
Mohammed
Gawaza ambaye ni mjasiriamali na mwanzilishi wa channel ya ujasiriamali youtube
inayoitwa GAWAZA ONLINE TV na blog yake ya kijasiriamali inayoitwa  GAWAZABRAIN.COM na ndiye muanzilishi vilevile
wa hiki kikundi ambacho kinajihusisha kununua na kutengeneza na kupack karanga
zao katika bidhaa zao za kila siku, Ambazo ni Karanga na Ubuyu.

Ikiwa
ni katika mwanzo wa mchakato huu tupo bado kwa usambazaji na kutafuta masoko wa
uuzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa hi.
Hivyo
kwa mtu anapenda kuhusu hii biashara unaweza ukatucheki kwa namba za simu
ziguatazo;
0684-843138
0718-567689
0743-214416




Saturday, April 7, 2018

Wednesday, April 4, 2018

JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO KWA VITENDO pt 01



 JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO LITA KUMI (10)










JINA LA MWANDISHI: Mohammed  A. Gawaza
MAWASILIANO  
        :  0684-863138/ 0718-567689/ 0743-214416
               Email               :  mgawaza12@gmail.com
                Youtube          : 
Gawaza Online TV  ( G.O.T )
                Blog                : www.gawazabrain.blogspot.com
JINA LA KITABU        : MJASIRIAMALI MBUNIFU
JINA LA MAKALA     : UTENGENEZAJI WA SHAMPOO .

 JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO LITA KUMI (10)

MAHITAJI
YA MALIGHAFI.





(i)               
Unga low au slec nusu
(ii)             
Sulphonic acid vijiko 5 vya chakula.
(iii)           
Soda ash light vijiko 2 vya chakula.
(iv)           
Maji lita 10.
(v)             
Glycerin vijiko 5 vya chakula.
(vi)           
Centrimide 63gm.
(vii)         
CDE 125 gm.
(viii)       
Sodium sulphate / chumvi ya kawaida – 250gm.






VIFAA
VINAVOTAKIWA
(i)          Mwiko mrefu – kwa ajili ya kukorogea.
(ii)                      
Beseni au ndoo safi zaidi ya lita kumi  -  kwa
ajili ya kuchanganyia shampoo.
(iii)                   
Kipimio – kwa ajili ya kupima vitu
mbalimbali.
(iv)                    
Maski – kwa ajilki ya kujikinga na chemikali.
(v)Gloves – kwa ajili ya
kujikinga na chemikali pia.


JINSI YA KUTENGENEZA
SHAMPOO

1.   
Weka slec kiasi
kinachohitajia katika chombo husika.
2.   
Kisha mimina sulphonic acid
kufatilizia kile chombo ulichoweka slec , koroga kwa pamoja kuelekea upande
mmoja.
3.   
Kisha weka soda ash ligh
nayo kisha endelea kukoroga kwa upande mmoja.
4.   
Mimina maji lita zao husika
katika mchanganyiko wako na uendelee kukoroga kuelekea upande mmoja.
5.   
Weka glycerin koroga
vizuri.
6.   
Weka centrimide kisha
koroga tene vizuri kuelekea upande mmoja.
7.   
Weka sodium sulphate hii ni
chumvi ya kawaida au wanaita industrial salts .
8.   
Hatua ya wisho hapa utaweka
alkatu au CMC na utaiacha ilale hapa povu lia pungua na mwishooo utamalizia kwa
9.   
Kuweka rangi yako kiasi
unataka na kuweka na apafyumu iasi unataka.

Kama
unataka maelezo kuhusiana na duka au maduka ambayo vifaa vinapatikana
tuwasiliane kwenye

Mgawaza12@gmail.com au
Simu
:   0684-863138
              0718-567689
              0743-214416
Mohammed
Gawaza