JINA LA MWANDISHI : Mohammed A. Gawaza
MAWASILIANO
: 0684-863138/ 0718-567689/ 0743-214416
Youtube :
Gawaza Online TV ( G.O.T )
JINA LA KITABU : MJASIRIAMALI MBUNIFU
JINA LA MAKALA : UTENGENEZAJI WA SHAMPOO .
MAHITAJI
YA MALIGHAFI.
(i) Unga low au slec nusu
(ii) Sulphonic acid vijiko 5 vya chakula.
(iii) Soda ash light vijiko 2 vya chakula.
(iv) Maji lita 10.
(v) Glycerin vijiko 5 vya chakula.
(vi) Centrimide 63gm.
(vii) CDE 125 gm.
(viii) Sodium
sulphate / chumvi ya kawaida – 250gm.
VIFAA
VINAVOTAKIWA
(i) Mwiko mrefu – kwa ajili ya kukorogea.
(ii) Beseni au ndoo safi zaidi ya lita kumi - kwa
ajili ya kuchanganyia shampoo.
(iii) Kipimio – kwa ajili ya kupima vitu
mbalimbali.
(iv) Maski – kwa ajilki ya kujikinga na chemikali.
(v) Gloves – kwa ajili ya kujikinga na chemikali pia.
0 comments:
Post a Comment