Mwandishi wa kitabu hiki ni MOHAMMED A. GAWAZA
Simu: +255 684 863 138 / +255 718 567 689 /+255 743 214 416
Barua pepe: mgawaza12@gmail.com
Facebook : Mohammed Gawaza
Instagram: Mohammed Gawaza
Twitter : @Mohammed Gawaza
April 2018.
Mwandishi, Mohammed Gawaza amezaliwa mkoani
Morogoro, wilaya Kilombero, mwaka 1995. Amepata elimu ya msingi hapo kilombero
na akajiunga na akajiunga na sekondari ya msamala muslim seminary mnamo mwaka
2011 mpaka 2014 na kisha akaenda kusomea Science & Laboratoty
technology Dar es salaam, DIT.
Na mwandishi amejihusisha na asasi mbalimbali za
kijasiriamali na hivyo akaamua kuandika hiki kitabu MJASIRIAMALI
MBUNIFU kinachoelezea utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani
mfano Sabuni ya kipande Unga, kipande, maji, za chooni na shampoo, lotion n.k.
0 comments:
Post a Comment