Gawaza
Fresh food ni wasambazi wa bidhaa mbalimbali
za chakula ambavyo vimepikwa tayari kwa sasa tumeanza na usambazaji wa karanga
za mayai na ubuyu wa Zanzibar kwa package ya shilingi za kitanzania 500= Tsh.
Mohammed
Gawaza ambaye ni mjasiriamali na mwanzilishi wa channel ya ujasiriamali youtube
inayoitwa GAWAZA ONLINE TV na blog yake ya kijasiriamali inayoitwa GAWAZABRAIN.COM na ndiye muanzilishi vilevile
wa hiki kikundi ambacho kinajihusisha kununua na kutengeneza na kupack karanga
zao katika bidhaa zao za kila siku, Ambazo ni Karanga na Ubuyu.
Ikiwa
ni katika mwanzo wa mchakato huu tupo bado kwa usambazaji na kutafuta masoko wa
uuzaji wa jumla na rejareja wa bidhaa hi.
Hivyo
kwa mtu anapenda kuhusu hii biashara unaweza ukatucheki kwa namba za simu
ziguatazo;
0684-843138
0718-567689
0743-214416
Link
on yotube below
https://youtu.be/rp_NIlheQUE
0 comments:
Post a Comment