Tuesday, January 21, 2020

MASHINE YA KUFUNGIA MIFUKO ya BIDHAA kama Karanga, crisps nk







MASHINE YA KUFUNGIA MIFUKO.



mashine hii inaitwa IMPULSE SEALER.

Ni nzuri na inachapakazi,  inatumia umeme.



Ina saizi tofauti tofauti kutokana na kazi ambazo,  inataka kufanya.



Inaweza kufunga na kukata mifuko ya nailoni,  yaani plastic.



GHARAMA YA MASHINE HII.



1. Zipo kubwa.

     Gharama yake ni 85,000/



2. Zipo ndogo.

     Gharama yake ni 65,000/





Kwa anayehitaji,  anaweza kuwasiliana na Mimi,  Mohammed Gawaza kwa namba zifuatazo.



0684-863138

0753-286313



Kwa mahitaji,  walio dar es salaam,  watazipata pale Tabata -mwanannchi (relini).



Kwa walio mikoani,  watazipata kwa njia ya Mabasi,  kutoka Ubungo mpka huko walipo.



Nitumie ujumbe ,  kwa njia ya whtsap. Kama unahitaji mashine hii.



Asanteni sana.

 .

.

.

#Jasiri #Gawaza #Mpambanaji

#Muelimishaji #Mtafutaji #Mpigani

#Sichoki #Up2Top #ElimuKwanza

#Focus #Praise #Promoter



CC : @Gawaza_brain

"Kazi yetu kuelimisha"

EMAIL : mgawaza12@gmail.com

PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.

©2020.

.

#Gawaza Brain

#Young Leader

0 comments:

Post a Comment