Thursday, November 26, 2020

Jinsi ya KUFANYA #sabuni ya maji kuwa #NZITO - 0684 863138 - Gawaza Brain



KEMİKALİ AİNA NNE ZİNAZOONGEZA UZİTO WA SABUNİ

Mwandishi " Mohammed Gawaza.
Makala" Jinsi ya kuongeza uzito wa sabuni za maji zote.
Namba za simu " 0718-567689   ! 0684-863138
Ofisi : Tabata mwananchi.

Kama. Umewahi kukutana na hili tatizo. Leo nataka liwe mwisho kwako.

Umetengeneza sabuni,  lakini sabuni inakiwa na shida ya Uzito. Au inajitenga kwa chini.

Tatizo hilo linaweza kuondolewa na njia nyingi,  kwa upande wangu naweza kutumia aina hizi za kemikali ili kuondoa tatizo.

Kanuni na vitabu mbalimbali wanasema zipo kemikali tano. Mm naziamini aina 4 tu.

1. Sodium Chloride - CHUMVİ YA MAWE
3. Sodium Salphate - CHUMVİ YA KİWANDANİ
3. CMC - soma zaidi kuhusu kirefu chake.
4. Alkatu

Jinsi ya kutumia kemikali hizi na kujua kipimo chake katika kila aina ya sabuni. Jipatie kopi ya kitabu kimoja wapo ili unufaike na elimu hiyo na ujitoe katika matatizo kama haya.


CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2020
.
#Gawaza Brain

0 comments:

Post a Comment