Jifunze kutengeneza kila aina ya bidhaa kupitia channel yetu ya youtube - GAWAZA BRAIN - usisahau ku-subscribe ili uwe wa kwanza kujipatia video zetu za mafunzo. Kwa mawasiliano zaidi calls - 0684 863138 Tabata - Dar es salaam - Tanzania.
KEMİKALİ AİNA NNE ZİNAZOONGEZA UZİTO WA SABUNİ
Mwandishi " Mohammed Gawaza.
Makala" Jinsi ya kuongeza uzito wa sabuni za maji zote.
Namba za simu " 0718-567689 ! 0684-863138
Ofisi : Tabata mwananchi.
Kama. Umewahi kukutana na hili tatizo. Leo nataka liwe mwisho kwako.
Umetengeneza sabuni, lakini sabuni inakiwa na shida ya Uzito. Au inajitenga kwa chini.
Tatizo hilo linaweza kuondolewa na njia nyingi, kwa upande wangu naweza kutumia aina hizi za kemikali ili kuondoa tatizo.
Kanuni na vitabu mbalimbali wanasema zipo kemikali tano. Mm naziamini aina 4 tu.
1. Sodium Chloride - CHUMVİ YA MAWE
3. Sodium Salphate - CHUMVİ YA KİWANDANİ
3. CMC - soma zaidi kuhusu kirefu chake.
4. Alkatu
Jinsi ya kutumia kemikali hizi na kujua kipimo chake katika kila aina ya sabuni. Jipatie kopi ya kitabu kimoja wapo ili unufaike na elimu hiyo na ujitoe katika matatizo kama haya.
CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2020
.
#Gawaza Brain
Thursday, November 26, 2020
Home »
» Unataka kuongeza #UZITO WA #SABUNI YA MAJI, Tumia #KEMIKALI HIZI...0684 ...
0 comments:
Post a Comment