Sunday, November 22, 2020

#MAFUTA YA MISE kwa ajili ya sabuni za #MAGADI yanapatikana kwetu tu - 0...



JE.

Unahitaji mafuta ya mawese au ya mise.

Je. Unajua mawese na mise ndio yanatoa sabuni za kipande za magadi na za kuogea kwa ubora wa hali ya juu.

Hahaaa. Basi suluhisho limepatikana.

BEI ZA MAFUTA NI KAMA IFUATAVYO

1. Mawese yenye Rangi ( ambayo hayajasafishwa) - 20L dumu kubwa -  elfu sitini na tano ( 65,000 tsh)

2. Mawese ambayo yamesafishwa - hayana rangi -  elfu sitini na tano  kamili (65,000  tsh)

3. Mise  ujazo wa 20L - dumu kubwa - elfu sabini tu ( 70,000 tsh)

GHARAMA ZA USAFIRI

Kwa walio Dsm hakuna gharama ya usafiri ( free delivery)

Kwa walio mikoani free delivery mpaka ubungo au feli au tazara au temeke kwa kusini ( usafiri zaidi ni juu yao)


KWA WANAOHOTAJI MAFUTA YOYOTE 20L


Nipigie mapema kwa haraka.

Namba zangu

0684-863138 ! 0718-567689

#Mohammed Gawaza

#Gawaza Brain

0 comments:

Post a Comment