Sunday, November 22, 2020

#SABUNI ZA MAGADI ndio SABUNI ZINALIPA ZAIDI YA ZOTE ( Akili yako tu ) -...



Jifunze kutengeneza kila aina ya bidhaa kupitia channel yetu ya youtube - GAWAZA BRAIN - usisahau ku-subscribe ili uwe wa kwanza kujipatia video zetu za mafunzo. Kwa mawasiliano zaidi calls - 0684 863138 Tabata - Dar es salaam - Tanzania. JE. Unahitaji mafuta ya mawese au ya mise. Je. Unajua mawese na mise ndio yanatoa sabuni za kipande za magadi na za kuogea kwa ubora wa hali ya juu. Hahaaa. Basi suluhisho limepatikana. BEI ZA MAFUTA NI KAMA IFUATAVYO 1. Mawese yenye Rangi ( ambayo hayajasafishwa) - 20L dumu kubwa - elfu sitini na tano ( 65,000 tsh) 2. Mawese ambayo yamesafishwa - hayana rangi - elfu sitini na tano kamili (65,000 tsh) 3. Mise ujazo wa 20L - dumu kubwa - elfu sabini tu ( 70,000 tsh) GHARAMA ZA USAFIRI Kwa walio Dsm hakuna gharama ya usafiri ( free delivery) Kwa walio mikoani free delivery mpaka ubungo au feli au tazara au temeke kwa kusini ( usafiri zaidi ni juu yao) KWA WANAOHOTAJI MAFUTA YOYOTE 20L Nipigie mapema kwa haraka. Namba zangu 0684-863138 ! 0718-567689 #Mohammed Gawaza #Gawaza Brain

0 comments:

Post a Comment