Saturday, November 21, 2020

#TAMBI hii ni mashine ya kutengenza #TAMBI ZA DENGU - 0684863138 - GAWAZ...



MASHINE ZA TAMBI ZA DENGU

Zipo za aina nyingi,  mimi ninazo aina moja tu.

 A)  MASHINE YA TAMBI
Bei yake  Elfu thelathini na tano ( 35,000/ tsh)

   Sifa zake
- Inatoa Tambi size za aina nane ( 8).

JINSI YA KUZIPATA NA KULIPIA

Tunalipia baada ya kuipata mashine kwa watu watakao zifata mashine. 
Mahali tulipo ( TABATA MWANANCHI ) ipo katikati ya Buguruni na Ubungo riverside kupitia mandela road.

Mikoani zinatumwa,  huko kwa njia ya basi. Wanalipia kabisa. 
Hakuna pungufu kwa mashine yeyote.

NAMBA ZA MAWASILIANO

0684-863138  !  0753-286313   !  0718 -567689

0 comments:

Post a Comment