Mafuta ya mgando hutengenezwa kwa vitu si chini ya 4 vya kawaida kabisa.
1. microwax
2. white oil
3. pafuyumu na
4. rangi
kwa hivi tu, unaweza kuutengeneza Mafuta ya Mgando na yakawa mazuir bil shida yeyote,
#GawazaBrain #MafutaYaMgando
Tuesday, December 31, 2019
Home »
» MAFUTA YA MGANDO NA FAIDA ZAKE | utengenezaji na ufungaji
0 comments:
Post a Comment