Karibuni sana katika makala ya gawaza brain
leo nitazunguzmia jinsi ya kutengeneza sabuni ya kipande,
KWA kujifunza zaidi tuwasiliane lwa
0718-567689
0684-863138
nitakutajia mlighfi ambazo zinatumika katika kutengeneza sabuni ya kipande.
1, caustic soda
2. mafuta yenye sifa ya kuganda
3. sodium silicat
4. glycerine
5. RANGI NA pAFYUMU
KARIBUNI SANA
#SABUNIyaKIPANDE #tabataDSM.
Wednesday, December 25, 2019
Home »
» SABUNI YA KIPANDE : Jinsi ya kumimina UJi wa SABUNI katika MOULD.
0 comments:
Post a Comment