Friday, December 20, 2019

UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA MGANDO - Gawaza Brain



Mohammed Gawaza as normal today i want to teach you on how you can produce Petroleum Jelly



( Naitwa mohammed gawaza Sasa l;eonataka nikufundishe jinsi ya kutengeneza Mafuta ya mgando.

video zote zipo kupitia youtube yangu,

namba zangu za simu
0684-863138
0718-567689

MALIGHAFI ZINAZOTUMIKA KATIKA KUTENGENEZA MASFUTA YA MGANDO.

1. Miceo wax
2. White oil
3. Pafyumu na
4. Rangi kwa anaye penda.

SASA KARIBNI KUTIZAMA VIDEO KAMILI.

#GawazaBrain #MafutaYaMgando.








0 comments:

Post a Comment