Leo tuwe pamoja, na nitafundish jinsi ya kutengeneza Sabuni kwa ajili ya kuoshe ya nywele. Sasa kwa kina kabisa nitazungumzia malighafi zinazotumika katika mchakato wake.
1. Salphonic acid
2. Slec / unga rol
3. Soda ash ligh
4. Glycerine
5. CDE
6. Chumvi ya mawe /SOdium salphate
7. pafyum na rangi na
8. centrimide
#GawazaBrain #ShampooMaking
Saturday, December 28, 2019
Home »
» SHAMPOO YA NYWELE | full video - Gawaza Brain | 0684-863138
0 comments:
Post a Comment