Tuesday, April 14, 2020

ASANTENI kwa kunishika MKONO kijan WENU - Gawaza Brain - DSM- Tabata





Miaka mitatu imepita tangu nimeanza ujasiriamali, up to now tuna subscibers si chini ya 15000, na views si chini ya laki 8.

kwangu mm ni fahari kubwa kuona hvyo, na napenda sana - kuona natatua changamoto na matatizo yanayo jitokeza katika jamii, kuhusu ujasiriamali.

sina mengi nawapenda sana,

CC : @Gawaza_brain
"Kazi yetu kuelimisha"
EMAIL : mgawaza12@gmail.com
PHONE : 0684-863138 l 0718-567689.
©2020
.
#GawazaBrain #YoungLeader

0 comments:

Post a Comment